Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Wakuu,
Nimeulizwa hilo swali na kijana wangu Jana, lakini kwa vile mile sayansi kwangu ni Giza nikabaki nakodoa macho tu.
Msingi wa swali ni kuwa umbali toka kwenye jua mpaka duniani haubadiliki asubuhi wala mchana. Sasa kwanini mchana jua linakuwa kali zaidi kama vile limedogea zaidi?
Msaada wa uelewa tafadhali..