Kwanini jua, Mwezi, Nyota, vinaelea angani?

Hahahaha..!

sababu nyingine zinachekesha sana,kwahiyo Mkuu mkorinto unaamini kuwa Kitu chochote kilichopangiliwa kwa Ustadi Mkubwa Lazima kiwe na Fundistadi aliyekipanga?
Wewe umetoa Mfano wa sebure,wengine wanatoa Mfano wa DNA lakini Point yao Moja..so Nijibu swali langu Hapo juu.

Sababu yangu kwenye uumbaji inasound kuliko hata sebuleni.labda uniambie unakubari kuna muazilishi ila hutaki awe anaitwa Mungu.
 
Last edited by a moderator:

Hujajibu swali Langu Bro.
Kila kitu kilichopangiliwa lazima kiwe ni Mpangaji?.
 
Mi ngoja nijifanye kuwa na akili kama yako wacha tumuite mungu,sasa twende na kanuni yako ya kuwa kila kitu kimeumbwa basi nae Mungu ameumbwa bila shaka.
 
Ndivyo ilivyo.kanusha.

Sasa kama umekubari ni Mungu haya rejea Mungu ni nani na ana sifa zipi.utapata jibu.
 
Vizuri.!

Kwasababu umekubali kuwa,kila kitu Ambacho kimepangiliwa kwa ustadi Lazima kiwe na Mpangaji
kwa lugha ya wenzetu,tunaweza kuiweka Hiyo statement Hivi.

Every well-ordered System Must Result From Intelligent Designer or Creator.

Sasa nitatumia Hiyo statement Hapo juu[kwasababu umeikubali]kama central Principle katika Swali langu.[Na assume Kingereza hakikupi taabu.]
One of the Basic characteristic of God,is Omniscient.
This Means that,His Mind Is well Ordered,In Order to Grasp Every Knowledge And wisdom of The Universe.
However,According to Our Principle Above,Every well Ordered system Require A designer,then the Mind Of God,Being well-Ordered it Need a Designer Also

The Basic Question is that as samsunsaid,Who create God?
 
Lakini kabla hujaanza kuujadili uwepo wa mungu ujue Mungu ni nini kwanza.

Kabla hujamuweka katika kundi moja na vitu vingine vilivyoumbwa vikaumbika, nakusihi mjue, na umfahamu.

Hakuna kitu, kifaa au kiumbe kinaitwa Mungu.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaahaa.

You sound like me there!

Ifikie mahali binadamu tukubali tu kuwa mpaka sasa kuna mambo hatuyajui ila tunajitahidi kwa kiasi fulani kuutafuta ukweli wake.

Hizo habari za bing bang kwangu haziingii kabisa akilini.

Kwa sababu mpaka sasa hatuujui ukweli ndo maana huwa tunadhani na kusadiki tu juu ya mambo flani flani.

Mimi nimeshakubali kuwa binadamu mpaka sasa kuna mambo hatuyajui lakini kutokuyajua huko hakutufanyi ndo tuache kabisa kuendelea kujaribu kuutafuta ukweli.

Ni kweli kabisa kwamba kuna mambo mengi sana hatuyajui, Mengi mno. Binadamu anaendelea kufanya uichunguzi na kugundua mapya ambayo mwanzo hakuyajua. Tunaishi katika nyakati ambazo upeo wa binadamu unapanuka kwa kasi ya ajabu, ukizingatia kwamba ni miaka elfu mbili tu iliyopita ilikuwa ukisema kwamba dunia ni duara ulikuwa ukionekana mbumbumbu na kichaa. Najaribu kuvuta picha kama tungeamua kushikiwa akili na jamaa walioandika misahafu tungekuwa bado tunaishi nyakati za giza!
 
Lakini kabla hujaanza kuujadili uwepo wa mungu ujue Mungu ni nini kwanza.

Kabla hujamuweka katika kundi moja na vitu vingine vilivyoumbwa vikaumbika, nakusihi mjue, na umfahamu.

Hakuna kitu, kifaa au kiumbe kinaitwa Mungu.

Hahahaa, kila kitu kinajadiliwa isipokuwa Mungu eeh? Hahahahaa, kaazi kweli!
 
Ndiyo Maana mwanzo nilisema,wewe Hauna Mwelekeo.
Mara useme ulimwengu umeuumbwa na Mungu Mara useme Hakuna Mungu,sasa tukueleweje?
 
Na uweze jua dunia ifuka mwisho unaanza sayari nyingine unatambuaje wakuu ata kama nimepita sayansi bado c kuelewa vizr hapo
 
Yaa uweze jua dunia imefika mwisho na unaanza sayari nyingine unatambuaje najua dunia ni sayari utata unakuja wapi kutambua kuwa hii dunia tumeitoka now tunaingia jupita au pruto unajuaje
 
Lakini kabla hujaanza kuujadili uwepo wa mungu ujue Mungu ni nini kwanza.

Kabla hujamuweka katika kundi moja na vitu vingine vilivyoumbwa vikaumbika, nakusihi mjue, na umfahamu.

Hakuna kitu, kifaa au kiumbe kinaitwa Mungu.

Unaona sasa unavyojichanganya? Sasa umekubali mwenyewe na kukiri kwa kinywa chako kuwa hakuna kitu, kifaa, na kiumbe chochote kinachoitwa Mungu.
Hapa unadhihirisha kuwa dini yako ina alcohol kubwa kuliko gongo na vilevi vyote
 
Yaa uweze jua dunia imefika mwisho na unaanza sayari nyingine unatambuaje najua dunia ni sayari utata unakuja wapi kutambua kuwa hii dunia tumeitoka now tunaingia jupita au pruto unajuaje

Utajua ukishafika huko Jupiter!!
 
Yaa uweze jua dunia imefika mwisho na unaanza sayari nyingine unatambuaje najua dunia ni sayari utata unakuja wapi kutambua kuwa hii dunia tumeitoka now tunaingia jupita au pruto unajuaje

Hivi unaingiaje sayari nyingine bila kujua? Wewe bora hata ukarudie darasa la sita ndio utaelewa kidogo kuhusu sayari.

Kwanza ujifunze kuandika kiswahili ndio ujifunze kuhusu sayari.
 
Ngoja nitumie Socratic Method of Argument labda tutaelewana.

swali lako litajibiwa na Jibu lako;
Wewe una uhakika gani kuwa,kabla ya Mungu kulikuwa hakuna kitu chochote kingine?
Kwanza unapaswa ujue kwamba mimi ndio ninakuhoji wewe kutokana na majibu yako kuhusu ulichojibu juu ya Big Bang na sio kuhusu msimamo wangu kuhusu uwepo wa Mungu,kwa maana hii wewe unachotakiwa hapa ni kujibu tu kile ninachokuuliza wewe kuhusu ulichopjibu na sio kuhusu unachojua kuhusu ninachokubali juu ya uwepo wa Mungu

Pili,hakuna kabla ya Mungu,kuanza kuwaza hivi ni kuanza kufikiri kimakosa kumhusu Mungu kwa kudhani kuwa kuna wakati alianza na najua kuwa hakuanza kwa kutumia imani na nina tafsiri yangu ya imani ninayoitumia na sio tafsiri ya kwenye kamusi,hivyo ninajua yote hayo kwa kutumia imani.....

Wewe unatumia nini? Maana kwenye sayansi hakuna imani....
 
Hahahaa, kila kitu kinajadiliwa isipokuwa Mungu eeh? Hahahahaa, kaazi kweli!
Kwani hapa tunafanyaje mkuu???
Ndiyo Maana mwanzo nilisema,wewe Hauna Mwelekeo.
Mara useme ulimwengu umeuumbwa na Mungu Mara useme Hakuna Mungu,sasa tukueleweje?
Ndio maana hujawahi kuelewa.

Mkuu hawa watu ni WAPUMBAVU kwelikweli 😀
Upumbavu unapimwa kwa kifaa gani cha kisayansi mwanasayansi???

Unaona sasa unavyojichanganya? Sasa umekubali mwenyewe na kukiri kwa kinywa chako kuwa hakuna kitu, kifaa, na kiumbe chochote kinachoitwa Mungu.
Hapa unadhihirisha kuwa dini yako ina alcohol kubwa kuliko gongo na vilevi vyote
Sasa kama Mungu ni
Kitu-kimetengenezwa kinapatikanaje sehemu zote kikiwa kimoja tu???

Kifaa-kinafanya kazi kwenye nn??, ipi sifa ya hicho kifaa kuweza mambo yote???

Kiumbe-kimeishaumbwa maana yake kina muumbaji, sifa ya uwepo wake kabla ya chochote imefutika.

Muelewe Mungu kwanza mkuu tutaendelea.
 
Ni kweli kabisa kwamba kuna mambo mengi sana hatuyajui, Mengi mno. Binadamu anaendelea kufanya uichunguzi na kugundua mapya ambayo mwanzo hakuyajua. Tunaishi katika nyakati ambazo upeo wa binadamu unapanuka kwa kasi ya ajabu, ukizingatia kwamba ni miaka elfu mbili tu iliyopita ilikuwa ukisema kwamba dunia ni duara ulikuwa ukionekana mbumbumbu na kichaa. Najaribu kuvuta picha kama tungeamua kushikiwa akili na jamaa walioandika misahafu tungekuwa bado tunaishi nyakati za giza!

Hapo ndo ujue kwamba hata baadhi ya mengine ambayo tunadhani tunayajua leo baadaye tunaweza kuja kugundua kuwa yalikuwa si ya kweli.
 
Back
Top Bottom