Hahahaha..!
sababu nyingine zinachekesha sana,kwahiyo Mkuu mkorinto unaamini kuwa Kitu chochote kilichopangiliwa kwa Ustadi Mkubwa Lazima kiwe na Fundistadi aliyekipanga?
Wewe umetoa Mfano wa sebure,wengine wanatoa Mfano wa DNA lakini Point yao Moja..so Nijibu swali langu Hapo juu.
Sababu yangu kwenye uumbaji inasound kuliko hata sebuleni.labda uniambie unakubari kuna muazilishi ila hutaki awe anaitwa Mungu.
Mi ngoja nijifanye kuwa na akili kama yako wacha tumuite mungu,sasa twende na kanuni yako ya kuwa kila kitu kimeumbwa basi nae Mungu ameumbwa bila shaka.Sababu yangu kwenye uumbaji inasound kuliko hata sebuleni.labda uniambie unakubari kuna muazilishi ila hutaki awe anaitwa Mungu.
Ndivyo ilivyo.kanusha.Hujajibu swali Langu Bro.
Kila kitu kilichopangiliwa lazima kiwe ni Mpangaji?.
Sasa kama umekubari ni Mungu haya rejea Mungu ni nani na ana sifa zipi.utapata jibu.Mi ngoja nijifanye kuwa na akili kama yako wacha tumuite mungu,sasa twende na kanuni yako ya kuwa kila kitu kimeumbwa basi nae Mungu ameumbwa bila shaka.
Ndivyo ilivyo.kanusha.
Sasa kama umekubari ni Mungu haya rejea Mungu ni nani na ana sifa zipi.utapata jibu.
Vizuri.!
Kwasababu umekubali kuwa,kila kitu Ambacho kimepangiliwa kwa ustadi Lazima kiwe na Mpangaji
kwa lugha ya wenzetu,tunaweza kuiweka Hiyo statement Hivi.
Every well-ordered System Must Result From Intelligent Designer or Creator.
Sasa nitatumia Hiyo statement Hapo juu[kwasababu umeikubali]kama central Principle katika Swali langu.[Na assume Kingereza hakikupi taabu.]
One of the Basic characteristic of God,is Omniscient.
This Means that,His Mind Is well Ordered,In Order to Grasp Every Knowledge And wisdom of The Universe.
However,According to Our Principle Above,Every well Ordered system Require A designer,then the Mind Of God,Being well-Ordered it Need a Designer Also
The Basic Question is that as samsunsaid,Who create God?
Hahahaahaa.
You sound like me there!
Ifikie mahali binadamu tukubali tu kuwa mpaka sasa kuna mambo hatuyajui ila tunajitahidi kwa kiasi fulani kuutafuta ukweli wake.
Hizo habari za bing bang kwangu haziingii kabisa akilini.
Kwa sababu mpaka sasa hatuujui ukweli ndo maana huwa tunadhani na kusadiki tu juu ya mambo flani flani.
Mimi nimeshakubali kuwa binadamu mpaka sasa kuna mambo hatuyajui lakini kutokuyajua huko hakutufanyi ndo tuache kabisa kuendelea kujaribu kuutafuta ukweli.
Lakini kabla hujaanza kuujadili uwepo wa mungu ujue Mungu ni nini kwanza.
Kabla hujamuweka katika kundi moja na vitu vingine vilivyoumbwa vikaumbika, nakusihi mjue, na umfahamu.
Hakuna kitu, kifaa au kiumbe kinaitwa Mungu.
Lakini kabla hujaanza kuujadili uwepo wa mungu ujue Mungu ni nini kwanza.
Kabla hujamuweka katika kundi moja na vitu vingine vilivyoumbwa vikaumbika, nakusihi mjue, na umfahamu.
Hakuna kitu, kifaa au kiumbe kinaitwa Mungu.
Na uweze jua dunia ifuka mwisho unaanza sayari nyingine unatambuaje wakuu ata kama nimepita sayansi bado c kuelewa vizr hapo
Hahahaa, kila kitu kinajadiliwa isipokuwa Mungu eeh? Hahahahaa, kaazi kweli!
Lakini kabla hujaanza kuujadili uwepo wa mungu ujue Mungu ni nini kwanza.
Kabla hujamuweka katika kundi moja na vitu vingine vilivyoumbwa vikaumbika, nakusihi mjue, na umfahamu.
Hakuna kitu, kifaa au kiumbe kinaitwa Mungu.
Yaa uweze jua dunia imefika mwisho na unaanza sayari nyingine unatambuaje najua dunia ni sayari utata unakuja wapi kutambua kuwa hii dunia tumeitoka now tunaingia jupita au pruto unajuaje
Yaa uweze jua dunia imefika mwisho na unaanza sayari nyingine unatambuaje najua dunia ni sayari utata unakuja wapi kutambua kuwa hii dunia tumeitoka now tunaingia jupita au pruto unajuaje
Kwanza unapaswa ujue kwamba mimi ndio ninakuhoji wewe kutokana na majibu yako kuhusu ulichojibu juu ya Big Bang na sio kuhusu msimamo wangu kuhusu uwepo wa Mungu,kwa maana hii wewe unachotakiwa hapa ni kujibu tu kile ninachokuuliza wewe kuhusu ulichopjibu na sio kuhusu unachojua kuhusu ninachokubali juu ya uwepo wa MunguNgoja nitumie Socratic Method of Argument labda tutaelewana.
swali lako litajibiwa na Jibu lako;
Wewe una uhakika gani kuwa,kabla ya Mungu kulikuwa hakuna kitu chochote kingine?
Kwani hapa tunafanyaje mkuu???Hahahaa, kila kitu kinajadiliwa isipokuwa Mungu eeh? Hahahahaa, kaazi kweli!
Ndio maana hujawahi kuelewa.Ndiyo Maana mwanzo nilisema,wewe Hauna Mwelekeo.
Mara useme ulimwengu umeuumbwa na Mungu Mara useme Hakuna Mungu,sasa tukueleweje?
Upumbavu unapimwa kwa kifaa gani cha kisayansi mwanasayansi???Mkuu hawa watu ni WAPUMBAVU kwelikweli 😀
Sasa kama Mungu niUnaona sasa unavyojichanganya? Sasa umekubali mwenyewe na kukiri kwa kinywa chako kuwa hakuna kitu, kifaa, na kiumbe chochote kinachoitwa Mungu.
Hapa unadhihirisha kuwa dini yako ina alcohol kubwa kuliko gongo na vilevi vyote
Ni kweli kabisa kwamba kuna mambo mengi sana hatuyajui, Mengi mno. Binadamu anaendelea kufanya uichunguzi na kugundua mapya ambayo mwanzo hakuyajua. Tunaishi katika nyakati ambazo upeo wa binadamu unapanuka kwa kasi ya ajabu, ukizingatia kwamba ni miaka elfu mbili tu iliyopita ilikuwa ukisema kwamba dunia ni duara ulikuwa ukionekana mbumbumbu na kichaa. Najaribu kuvuta picha kama tungeamua kushikiwa akili na jamaa walioandika misahafu tungekuwa bado tunaishi nyakati za giza!