DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Alijiona Superstar kwenye hakunaRefareee Jesús Gil Manzano amemuonesha kadi nyekundu Mchezaji wa Real Madrid Jude Bellingham kwenye mechi iliyokuwa inachezwa kati ya Real Madrid na Valencia.
Mzozo Huo ulitokea baada ya Refa kumaliza Mchezo wakati mpira Ulikuwa Hewani na baada ya mpira kutua ukatua Nyavuni na Refa kukataa Goli hilo na ndipo Mchezaji huyo akatoa maneno yaliyomchukiza Refa.
Bila kujali kuwa mchezo umeisha akampachika Kadi nyekundu..
Kwa wachambuzi na Waelewa hii kitu iko sawa kweli
View attachment 2922958
Ila mpira si ulikuwa umeisha?Card ni moja ya njia ya kutoa adhabu.
Jude alitumia abusive language kwa referee,referee alishindwa kumtwanga ngumi.
Referee ni raia wa Spain anatokea Valencia kwahy Kawa favor watoto wa nyumbani.
Kwa vipi??Alijiona Superstar kwenye hakuna