Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi namuunga mkono. Hakuna kabila la watusi ila ni clan. Warwanda wataitwa watutsi, bukoba wahinda na wahima. Lugha walilirithi kadri walivyowanamigrate wakawa wana adopt mila za pale. Tofauti yao na makabila mengine,wenyewe walipigana wakatawala makabila ya kibantu. Wenyewe hata muonekano wao ni tofauti. Warefu, siyo wasemaji saana na ni watemi.
Wanabaki na kabila zao Kama ni wahutu wanabakia wahutu na Kama ni watusi wanabakia na utusi wao wakiulizwa wewe kabila gani anasema mimi mhutu au mtusi hawahitaji kujifichaNaomba kuuliza kama wanapewa uraia na wanakuwa ni watanzaniaaa
Wanakuwa ni kabila gani katika hilooo
Umeongea vizuli ila itapendeza ukiongea kwa undani zaidiiiii
Kiongozi kama umeshabahatika kufika tabora kuna maeneo rasmi kama vile ukienda urambo, uyogo, kalemela,tabora mjini kuna maeno yanaitwa utusini ukifika ukiulizia utusini unapelekwaaa
Hapo ndipo utawakuta watu wa kabila la watusi ila lugha inayozungumzwa sio kitusi ila wao wanasena ni watusu
Watusi ni moja kabila moja kubwa hapa nchini kwetu ambalo linapatikana haswa baadhi ya maeneo hapa nchini kama vile Tabora, Mpanda, Kigoma, Geita, Kagera, Karagwe, Bukoba na Kahama.
Ukifika maeneo ya Utusini katika hii mikoa, tamaduni nyingi za Kitusi zinafahamika kuanzia uvaaji, ufugaji na watu wanaofahamika. Lakini, je ni kwanini kabila hili halimo miongoni mwa makabila 120 yanayopatikana hapa nchini? Ukiangalia hili kabila ni la muda mrefu sana tangu karne ya 21 na pia kuna watemi wengi wa Kitusi .
Lakini twende mbele turudi nyuma, ni kwanini Watusi siyo miongoni mwa makabila yanayopatikana hapa nchini?
Wataalam wa historia nisaidieni.
Utawaitaje kabila landani mwako ukijua wazi kua lanje...historia yakeyote unaijua(wanyarwanda hao)...labda umeamua useme kua wamevamiaWatusi ni moja kabila moja kubwa hapa nchini kwetu ambalo linapatikana haswa baadhi ya maeneo hapa nchini kama vile Tabora, Mpanda, Kigoma, Geita, Kagera, Karagwe, Bukoba na Kahama.
Ukifika maeneo ya Utusini katika hii mikoa, tamaduni nyingi za Kitusi zinafahamika kuanzia uvaaji, ufugaji na watu wanaofahamika. Lakini, je ni kwanini kabila hili halimo miongoni mwa makabila 120 yanayopatikana hapa nchini? Ukiangalia hili kabila ni la muda mrefu sana tangu karne ya 21 na pia kuna watemi wengi wa Kitusi .
Lakini twende mbele turudi nyuma, ni kwanini Watusi siyo miongoni mwa makabila yanayopatikana hapa nchini?
Wataalam wa historia nisaidieni.
Tanganyika na hatimaye Tanzania hatujawahi kuwa na hilo kabila kama sehemu ya jamii yetu,hao unaowasema ni wahamiaji walikuja huku baada ya mauwaji ya kimbari ya kwanza kutokea dhidi ya watusi (1959-1962) ambapo takribani watusi 10,000 waliuwawa na wengi wao kukimbilia uhamishoni na wengine kuwa wakimbizi kwenye nchi za afrika mashariki ikiwamo Tanzania,kenya na uganda,Watusi ni moja kabila moja kubwa hapa nchini kwetu ambalo linapatikana haswa baadhi ya maeneo hapa nchini kama vile Tabora, Mpanda, Kigoma, Geita, Kagera, Karagwe, Bukoba na Kahama.
Ukifika maeneo ya Utusini katika hii mikoa, tamaduni nyingi za Kitusi zinafahamika kuanzia uvaaji, ufugaji na watu wanaofahamika. Lakini, je ni kwanini kabila hili halimo miongoni mwa makabila 120 yanayopatikana hapa nchini? Ukiangalia hili kabila ni la muda mrefu sana tangu karne ya 21 na pia kuna watemi wengi wa Kitusi .
Lakini twende mbele turudi nyuma, ni kwanini Watusi siyo miongoni mwa makabila yanayopatikana hapa nchini?
Wataalam wa historia nisaidieni.
Watutsi inasemekana siyo kabila, ila ni jamii ya watu walipofika kusini mwa Afrika. Walijizolea umaarufu wa kuwa watu wema, wakaaminiwa, wakashiriki utawala na wakawa watawala.
Neno Mtutsi, wanasema linamaanisha mtu mwema. Siyo kabila. Wana kabila zao lakini walizipoteza, ndiyo maana hakuna lugha ya Kitutsi ila kuna watu wamepewa icon ya Ututsi.
Wakiwa na kabila fulani, huchukua mila hizo na hujiita wa kabila hilo. Wakiwa Kigoma ni Waha tu. Wakiwa Buhaya ni Wahaya, Uganda ni Wanankole, Usukumani watajiita Wasukuma.
Safi Sana umeelezea vzr ,Mimi nimekua nikijijua Ni msukuma lakini nilivyoenda kahama ndio nikajua sisi Ni watusi baba akiwa na ndugu zake wanaongea kitusi ,lakini huku Dar sisi Ni wasukumaWatutsi inasemekana siyo kabila, ila ni jamii ya watu walipofika kusini mwa Afrika. Walijizolea umaarufu wa kuwa watu wema, wakaaminiwa, wakashiriki utawala na wakawa watawala.
Neno Mtutsi, wanasema linamaanisha mtu mwema. Siyo kabila. Wana kabila zao lakini walizipoteza, ndiyo maana hakuna lugha ya Kitutsi ila kuna watu wamepewa icon ya Ututsi.
Wakiwa na kabila fulani, huchukua mila hizo na hujiita wa kabila hilo. Wakiwa Kigoma ni Waha tu. Wakiwa Buhaya ni Wahaya, Uganda ni Wanankole, Usukumani watajiita Wasukuma.
Yap Mimi nipo tabaka la wahima/wazirankendeMimi namuunga mkono. Hakuna kabila la watusi ila ni clan. Warwanda wataitwa watutsi, bukoba wahinda na wahima. Lugha walilirithi kadri walivyowanamigrate wakawa wana adopt mila za pale. Tofauti yao na makabila mengine,wenyewe walipigana wakatawala makabila ya kibantu. Wenyewe hata muonekano wao ni tofauti. Warefu, siyo wasemaji saana na ni watemi.
Mimi ni mshambo wale waliotawala Mpololo.Yap Mimi nipo tabaka la wahima/wazirankende