Young murrah
JF-Expert Member
- Mar 31, 2014
- 415
- 458
Haina mashiko? Huoni watu waliofeli option ya kwanza kuulizia ni ualimu?Kasumba ya kwamba walim wamefeli haina mashiko,kuna kozi nying watu wanajoin na marks za chin sana,journalism,accounts,procurement na baadh ya kozi za afya,vyeti vya magumash vipo kila sehemu jeshin,polis had bungen mbona hao hawadharauliwi?nadhan tatzo ni walim kutojiamin,kujikubali na kuwa na msimamo wa kusimamia haki zao,ukijidharau kila mtu nae atakudharau
Haina mashiko? Huoni watu waliofeli option ya kwanza kuulizia ni ualimu?
labda kama haujui....
Acha kabisa hongereni waalimu kwa kutufundisha acha kumponda mtu alieenda kusoma uhalimu kwa div 3 ww umeenda uhasibu kwa 4 ya 30 au ugavi kwa div zero cbe wamejaa na t.i.a zero tupu waalimu pambaneni maisha ni hatua hata yesu Alikuwa mwalimu tuzo ipo mbiguni
Naona tunaongea lugha mbili tofauti, labda ni njaa ngoja nikanywe chai kwanzaKwa sababu tu hawajui(wamekariri) kwamba kwa points hizo hizo unaweza kwenda jeshin,nursing etc kwahio unataka kuniambia na walim wenye bachelor nao wamefeli?kama ndio walifikaje chuo?ni kasumba tu
Naona tunaongea lugha mbili tofauti, labda ni njaa ngoja nikanywe chai kwanza
karibu...
Hivi nursing na uhasibu kwa level ya form four na ualimu wapi wanachukuliwa wenye marks chafu? Chunguza utaona kimbilio la walio feli ni uhasibu na nursing, walimu wanachukuliwa wenye 4 ya 26 na 28 wakati nursing hadi 30 ilimradi awe na D ya Bios, pia CBE pale Dodoma wanadahiliwa hadi wenye Zero za mwanzo yani 4 negative!
Haina mashiko? Huoni watu waliofeli option ya kwanza kuulizia ni ualimu?
labda kama haujui....
Haina mashiko? Huoni watu waliofeli option ya kwanza kuulizia ni ualimu?
labda kama haujui....
Hivi nursing na uhasibu kwa level ya form four na ualimu wapi wanachukuliwa wenye marks chafu? Chunguza utaona kimbilio la walio feli ni uhasibu na nursing, walimu wanachukuliwa wenye 4 ya 26 na 28 wakati nursing hadi 30 ilimradi awe na D ya Bios, pia CBE pale Dodoma wanadahiliwa hadi wenye Zero za mwanzo yani 4 negative!
"Hata ya ualimu" ,sentesi hii nimeiskia sana hata kwa mtu ambaye hajui kusoma.Tumekuwa tukiambiwa!
>''Yaani umefeli hata ualimu umekosa''
na mtu akiwa kilaza utasikia akiambiwa
"Jitahidi upate HATA ualimu tu"
si ndo hapo sasa....Tumekuwa tukiambiwa!
>''Yaani umefeli hata ualimu umekosa''
na mtu akiwa kilaza utasikia akiambiwa
"Jitahidi upate HATA ualimu tu"