Kwanini kada nyingine unadharau walimu je ni sababu ya mshahara mdogo au ni nini...??

Kwanini kada nyingine unadharau walimu je ni sababu ya mshahara mdogo au ni nini...??

Acha kabisa hongereni waalimu kwa kutufundisha acha kumponda mtu alieenda kusoma uhalimu kwa div 3 ww umeenda uhasibu kwa 4 ya 30 au ugavi kwa div zero cbe wamejaa na t.i.a zero tupu waalimu pambaneni maisha ni hatua hata yesu Alikuwa mwalimu tuzo ipo mbiguni
 
Kasumba ya kwamba walim wamefeli haina mashiko,kuna kozi nying watu wanajoin na marks za chin sana,journalism,accounts,procurement na baadh ya kozi za afya,vyeti vya magumash vipo kila sehemu jeshin,polis had bungen mbona hao hawadharauliwi?nadhan tatzo ni walim kutojiamin,kujikubali na kuwa na msimamo wa kusimamia haki zao,ukijidharau kila mtu nae atakudharau
Haina mashiko? Huoni watu waliofeli option ya kwanza kuulizia ni ualimu?
labda kama haujui....
 
Haina mashiko? Huoni watu waliofeli option ya kwanza kuulizia ni ualimu?
labda kama haujui....

Kwa sababu tu hawajui(wamekariri) kwamba kwa points hizo hizo unaweza kwenda jeshin,nursing etc kwahio unataka kuniambia na walim wenye bachelor nao wamefeli?kama ndio walifikaje chuo?ni kasumba tu
 
Acha kabisa hongereni waalimu kwa kutufundisha acha kumponda mtu alieenda kusoma uhalimu kwa div 3 ww umeenda uhasibu kwa 4 ya 30 au ugavi kwa div zero cbe wamejaa na t.i.a zero tupu waalimu pambaneni maisha ni hatua hata yesu Alikuwa mwalimu tuzo ipo mbiguni

Well said umemaliza kila kitu
 
Wana JF hapa mimi naona ubishi utakesha ila mambo yako kama hivi,nimejaribu kufuatilia kwa ukaribu juu ya mkwanja kwa upande wa mishahara ya kada mbalimbali kiserikali haipishani sana ila mambo y dharau na kudharauliana hayana connection na Elimu ya waalimu kwa maana ya kwamba wamefeli hyo nakata kwa sababu kuna watu wengi sana wamekuwa wanaongoza ata kwenye viwango vya taifa O&A level wanapiga ualimu wanakuja kuwa hawana kitu ndo wanaanza kudharaulika ilihali wakati wanasoma wanakuwa ma bright sana Ishu iko hiv kwa hapa watu wanaheshimu nn ulichonacho na unakupatia wapi bila kuangalia umekipata vipi namaana KUISHI KWA UJANJA UJANJA..... Kwa walimu hawana janaja hizo ndo maana wanadharaulika wao na vumbi la chaki tu ila kuna watu failure wengi wanakuwa na title za kawaida na salary za chini WIZI ndo unawatoa wanaheshimika mtaa wengi sana tunawajua.... Asante
 
Kwa sababu tu hawajui(wamekariri) kwamba kwa points hizo hizo unaweza kwenda jeshin,nursing etc kwahio unataka kuniambia na walim wenye bachelor nao wamefeli?kama ndio walifikaje chuo?ni kasumba tu
Naona tunaongea lugha mbili tofauti, labda ni njaa ngoja nikanywe chai kwanza
karibu...
 
M=muendeleza, W=wengine, A=ataendelea, L=lini, I=inabidi, M=mungu, U=umsaidie [M.W.A.L.I.M.U]
 
Hivi nursing na uhasibu kwa level ya form four na ualimu wapi wanachukuliwa wenye marks chafu? Chunguza utaona kimbilio la walio feli ni uhasibu na nursing, walimu wanachukuliwa wenye 4 ya 26 na 28 wakati nursing hadi 30 ilimradi awe na D ya Bios, pia CBE pale Dodoma wanadahiliwa hadi wenye Zero za mwanzo yani 4 negative!

Swali zuri mkuu
 
"Utasikia watu "yani hata ualimu amekosa?"

Nenda chuoni UDSM katika zile course za ualimu BAED, BED, BSE na kadhalika kisha uliza matokeo yao. Takwimu za hivi karibuni zinaonesha kwamba kwa couse ya BAED wanafunzi wanaodahiliwa pale ni kuanzia DIV 1 hadi cut off ya 2.10. kisha nenda UDBS kwenye course za biashara ulizia matokeo yao pia kisha uje hapa tuzungumze
 
me siyo mwalimu hivi mtu anaposema eti waliofeli ndo wameenda ualimu huu ni uongo mtakatifu kwa div 4 ya point 27 au 28 kwa miaka ya nyuma na waliopata zero watasemaje embua tuondoe hiyo dhana potofu wajameni
 
Walimu wana kelele sana !

Kila siku madeni madeni ! Mishahara atujalipwa sijui nini na nini !

Ukiangalia vizuri utagundua maadui wakubwa wa serikali ni Walimu !

Na pia na amini hata serikali inawachukia walimu ! Mana wao ndio wanaowasumbua sana !

Japokuwa ni kweli wanadai haki yao ya msingi !

Na wakiitisha mgomo ! Basi walimu Wawili kati ya 500 ndio watakao goma !

Na utaisha mgomo bado hawajalipwa ! Wanaendeleza tena kelele !
 
Bila data Haina haja kucomment.. Ukitumiwa text ya uchochezi na uongo unaamiini.
Walimu hasa wanalalamikia posho siyo mshahara.
 
Haina mashiko? Huoni watu waliofeli option ya kwanza kuulizia ni ualimu?
labda kama haujui....

Tumekuwa tukiambiwa!
>''Yaani umefeli hata ualimu umekosa''

na mtu akiwa kilaza utasikia akiambiwa
"Jitahidi upate HATA ualimu tu"
 
Hivi nursing na uhasibu kwa level ya form four na ualimu wapi wanachukuliwa wenye marks chafu? Chunguza utaona kimbilio la walio feli ni uhasibu na nursing, walimu wanachukuliwa wenye 4 ya 26 na 28 wakati nursing hadi 30 ilimradi awe na D ya Bios, pia CBE pale Dodoma wanadahiliwa hadi wenye Zero za mwanzo yani 4 negative!

Ni kweli ila mimi naona dharau hizo zinakuja kwasababu gharama ya kusoma ualimu ngazi ya cheti ni rahisi kwa vyuo vya serikali ukilinganisha na kusoma fani nyingine kama uhasibu kwa ngazi hiyohiyo ya cheti hivyo wengi wa Watanzania hukimbilia kusoma ualimu kwasababu ya hali zetu za maisha.
 
Tumekuwa tukiambiwa!
>''Yaani umefeli hata ualimu umekosa''

na mtu akiwa kilaza utasikia akiambiwa
"Jitahidi upate HATA ualimu tu"
"Hata ya ualimu" ,sentesi hii nimeiskia sana hata kwa mtu ambaye hajui kusoma.
 
Back
Top Bottom