Kwanini Kagame anachukiwa sana humu JF?

Maendeleo ya rwanda linganisha na mkoa wa dar pekee nayo ipo juu sana tuu! kainchi kama wilaya bado mnalinganisha na nchi kama yetu, ni aibu kweli.
Mbona Burundi Ina saiz Kama ya Rwanda lakin bado wako nyuma ,

Alafu mkuu , inchi yetu ya tz kwa ukubwa wake na rasrimali zake zote tulizonazo , kimaendeleo ilitakiwa tuwe Kama marekani
 
Kwangu mimi Rais Kagame ni shujaa ambaye ameibadilisha nchi yake kutoka hali mbaya ya uchumi hadi sasa, ameondoa ukabila, amewekeza kwenye elimu,kilimo na viwanda.
Kasi ya maendeleo ya nchi hii yameshinda hata zile nchi ambazo zilikuwa zinaheshimika.
Haogopi kelele zinazopigwa na wapinzani wake kwani yeye yuko occupied na maendeleo ya nchi yake.
 
Long may he reign PK walahi
Mijitu masikini ya fikra na mwili ni shida sana walahi
 
Safi Sana mkuu, wee una mawazo Kama yangu , kiukweli hata Mimi namuheshimu Sana kagàme,

Nachukia Sana watu wanavyomutukana Sana humu jf kana kwamba hakuna anachokifanya ,

Nkurunziza na Burundi yake Hari yake ni mbaya lakin sijawahi kuona humu wakimuponda ,

Nimegundua watu hawamupendi kwasababu ya maendeleo anayopiga
 
Stupidity.
 
Kwa sababu anamfundisha nanii tabia mbaya za kwake
 
We mnyarwanda tu lasivyo huwezi anzisha uzi wa kumsifia PAKA hapa kirahirahisi hivyo.

R.I.P Rev Mtikila,Prof Jwani and others.
Mi siko 'biased ' naangalia tu ukweli wa mambo,

Let's say kwamfano ningekuja nikamsifia TRUMP ungesema mi mumarekani pia ?

Au unaniita hivyo kwasababu tu humupendi kagàme na rwanda yake ?

Mkuu kwenye ukweli tuseme tu hata Kama hupendi
 
Kuna wakati chuki huzaliwa kutokana na wivu uliopundukia.
Hivi wa kwanza waliopaswa kulalamika kuhusu rais Kagame ni wanyarwanda wenyewe.
Sasa kama wao wanaridhika naye 'the rest of the world can go to hell'.
Tatizo lililokuwepo ni moja tu nalo ni lile la unemployment kwa vijana wasomi wa nchi hiyo kutokana na udogo wa nchi. Nao wanakuwa encouraged kwenda nje ku-hustle na wengi wanafanya hivyo wakiwa na lengo la kurudi na kuwekeza nyumbani kwao.
 
Kweli kabisa , hizi Ni chuki tu binafsi na wivu uliopitiliza , nashangaa sioni wakimutukana Nkurunziza au kumukosoa kwa Mambo yake , why always kagàme and rwanda ?

Waiache Rwanda , wao mbona hawaiongelei tz Kama ss tunavyoiongelea ??
 
Kwa sababu anamfundisha nanii tabia mbaya za kwake

Tatizo la Watz wengi ndilo hilo.
Kutokuwa na ujasiri wa kusema kweli bila kumung'unya maneno. Kwanini husemi tu kwamba PAUL KAGAME Rais wa Rwanda anachukia sana humu JF kwasababu ni MENTOR wa Rais Magufuli. Kwa sasa sera zinazoendesha Tanzania ni COPY&PASTE from Kagame.
Lakini bado Kagame aliwahi kupishana na Rais wa A4 Mzee wa Musoga(JMK) kwa kumtishia kuwa ANGELIMPIGA,,,!!Iweje leo mtu aliyemtishia Rais Kikwete leo awe rafiki wa Magufuli na Tanzania? Think big guys na tuache tabia ya kupayukapayuka kama limbukeni!.
 
Kweli kabisa , hizi Ni chuki tu binafsi na wivu uliopitiliza , nashangaa sioni wakimutukana Nkurunziza au kumukosoa kwa Mambo yake , why always kagàme and rwanda ?

Waiache Rwanda , wao mbona hawaiongelei tz Kama ss tunavyoiongelea ??
WIVU HUPOFISHA NI BORA ALIYEKUWA NA UPOFU WA MACHO KULIKO YULE ALIYEKUWA NA UPOFU UNAOTOKANA NA WIVU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…