Kwanini Kagame anachukiwa sana humu JF?

Kwanini Kagame anachukiwa sana humu JF?

Kijiografi kinamna yyt ile rwanda na Tanzania zitafaidika kwa pa1 hata akija rais mwingine,yan hata slim boy aking'oka akija rais mwingine lzm atashirikiana na Tanzania,kikubqa tu kwa ss slim boy asijaribu kujifanya yuko against TZ,ataondolewa mchana kweupe na waasi
now kila mtu anawaza uchumi

swala la tz kumpiga slim sio jepesi kihivyo mtaumia saana
 
Kwangu mimi Rais Kagame ni shujaa ambaye ameibadilisha nchi yake kutoka hali mbaya ya uchumi hadi sasa, ameondoa ukabila, amewekeza kwenye elimu,kilimo na viwanda.
Kasi ya maendeleo ya nchi hii yameshinda hata zile nchi ambazo zilikuwa zinaheshimika.
Haogopi kelele zinazopigwa na wapinzani wake kwani yeye yuko occupied na maendeleo ya nchi yake.
Umesahau na Uswis ana Dolla $ billion 1 kwa mujibu was jarida la Forbe nchi masikini Kama Rwanda kazitoa wapi, PK Ni jambazi na liuwaji likubwa...
 
Kuna wakati chuki huzaliwa kutokana na wivu uliopundukia.
Hivi wa kwanza waliopaswa kulalamika kuhusu rais Kagame ni wanyarwanda wenyewe.
Sasa kama wao wanaridhika naye 'the rest of the world can go to hell'.
Tatizo lililokuwepo ni moja tu nalo ni lile la unemployment kwa vijana wasomi wa nchi hiyo kutokana na udogo wa nchi. Nao wanakuwa encouraged kwenda nje ku-hustle na wengi wanafanya hivyo wakiwa na lengo la kurudi na kuwekeza nyumbani kwao.
Mnyarwanda gani anaridhika na kagame, Kama hujawahi kufika Kigali kaa kimya mkuu, wale watu wanaishi Kama wako Utumwani, kumzungumzia kagame kwa zuri au Baya Ni kujipalia makaa ya Moto muda wowote unakula risasi hadharani...
 
RAIS WA RWANDA ANACHUKIWA NA WATANZANIA, THAT IS RELIEF.
MR SLIM IS VERY SMART, ANAJUA ANACHOKIFANYA
 
*Irakunda* Mtaumia au tutaumia?
sina shaka na uwezo wa jeshi la tanzania najua uwezo wa kumtoa pk upo lkn mtaumia vibaya saana hasa kiuchumi rwanda inajua kbs mbabe wake ukanda huu ni tz hivyo nguvu kubwa ya ujasusi imeelekezwa huku na south

najua na tz ina majasusi rwanda lkn mfumo wa gvment ya slim ni vigumu saana majasusi wa tz na kenye kupenya kwenye maeneo nyeti( )
 
Alimtishia kumuua rais wetu kipenzi Mh Dkt J. Kikwete,
Tungesambaratisha hako ka kitongoji kote! mbafu zake
Hivi hii issue ni kweli ehhe??
Mbona tungekunywa chai pale kigali mapema kabisa asubuhi...
 
utampendaje Rais mnafiki urafiki wake wa mashaka sana huyu mtu ni wakumwangalia sana ni hatari sio mtu wakumkaribisha karibisha nyumbani kwako unapomkaribisha uchukue tahadhali kubwa ni mtu asiyeitakia tanzania mema kabisa
 
Lol
Mnyarwanda gani anaridhika na kagame, Kama hujawahi kufika Kigali kaa kimya mkuu, wale watu wanaishi Kama wako Utumwani, kumzungumzia kagame kwa zuri au Baya Ni kujipalia makaa ya Moto muda wowote unakula risasi hadharani...
Hakuna kitu ka hiko , mbona nineshawahi kukaa Kigali kwa mda flani sikuona Jambo ka Hilo
 
sina shaka na uwezo wa jeshi la tanzania najua uwezo wa kumtoa pk upo lkn mtaumia vibaya saana hasa kiuchumi rwanda inajua kbs mbabe wake ukanda huu ni tz hivyo nguvu kubwa ya ujasusi imeelekezwa huku na south

najua na tz ina majasusi rwanda lkn mfumo wa gvment ya slim ni vigumu saana majasusi wa tz na kenye kupenya kwenye maeneo nyeti( )
Mengine usiseme mkuu, kaa kimya ,

Kuna watu whaidharau Rwanda kwa udogo wake , wasijue kwamba Vita ni pamoja na mbinu

Sehemu nyeti unaweza ukakuta zinashikwa na adui yakk bila kujua
 
Ni mtuhumiwa mkubwa wa genocide ya 1994 watu 800,000 walikufa kwaajiri ya uchu wa madaraka yao......

Ni kweli wao ndio walitungua ile ndege iliyomchukuaya marais Juvenal Habyarimana na Rais yule wa Burundi, kwa ujumla walikufa marais wawili. Kipindi hicho yeye Kagame alikuwa ni kamanda wa RPF (Rwandese patriotic front , Na ni kutokana na tukio hilo la kuuwawa kwa Habyarimana ndipo mauaji yale ya kimbari yakatokea.

Leo watu tumesahau sababu bali tunaangalia matokeo, kitu ambacho kinawezekana kutokea tena mahali popote.

Swali kwanini aliyeua Rais wa nchi hashitakiwi.

Ili kuficha uhalifu wake huo Kagame anajitahidi kufanya kila awezalo ili kuwapendeza Wanyarwanda wote, na kudai eti Rwanda hakuna ubaguzi!!?, basi na ajitokeze Muhutu na asimame katika kinyang'anyiro cha uchaguzi tuone kama atakuwa "hai".
 
Kiswahili tumejifunza ukubwani , tumekulia kijijini huko ambapo tulikuwa tunaongea kiluga Cya kabira letu , ukionekana unaongea kiswahili watu wanakuokopa Sana

Kwa taarifa yako wahutu Ni 80% ya population ya Rwanda ,

Ingekuwa Kuna ubaguzi , basi kagàme asingekuwa rais mpk Sasa,

Na hiyo ya ndege , hakuna ushahidi kama kagàme alihusika , Ni maneno tu ya kupapasa ,
 
Ni kweli wao ndio walitungua ile ndege iliyomchukuaya marais Juvenal Habyarimana na Rais yule wa Burundi, kwa ujumla walikufa marais wawili. Kipindi hicho yeye Kagame alikuwa ni kamanda wa RPF (Rwandese patriotic front , Na ni kutokana na tukio hilo la kuuwawa kwa Habyarimana ndipo mauaji yale ya kimbari yakatokea.

Leo watu tumesahau sababu bali tunaangalia matokeo, kitu ambacho kinawezekana kutokea tena mahali popote.

Swali kwanini aliyeua Rais wa nchi hashitakiwi.

Ili kuficha uhalifu wake huo Kagame anajitahidi kufanya kila awezalo ili kuwapendeza Wanyarwanda wote, na kudai eti Rwanda hakuna ubaguzi!!?, basi na ajitokeze Muhutu na asimame katika kinyang'anyiro cha uchaguzi tuone kama atakuwa "hai".
Tuwekee pasipo shaka uhusika wa kagàme Kwenye genocide ya 94 ,kama hutoweka tu maneno maneno ya kupapasa tu , au huelewi maana ya hiyo genocide
 
Back
Top Bottom