Kwanini Kagame anachukiwa sana humu JF?

Kwanini Kagame anachukiwa sana humu JF?

Kagame 'hapendwi' kwa sababu anaendesha nchi kwa mkono wa chuma.. Binadamu ni kiumbe asiyependa bughudha. Anapenda kubembelezwa.

Hata hivyo hana tofauti na Mungu anayetawala wanadamu kupitia hofu.. Inaaminika, ili uweze kummiliki mwanadamu afanye unayoyataka, mjaze hofu kwanza. Ndiyo mbinu wanayotumia hata majambazi, wachawi, majini, wakubwa kwa wadogo, wanyama mwituni n.k. HOFU.

Kuhusu wananchi wake kumpenda kunaweza kusababishwa na mambo mawili;

1. INTIMIDATION / HOFU (nimeshaifafanua hapo juu)
2. STOCKHOLM SYNDROME *(Ugonjwa wa watu kuwapenda watesi wao).
- Ufahamu vizuri zaidi ugonjwa huu >> What is Stockholm syndrome?

Kimsingi, Kagame ana nia njema ya kukuza uchumi na maendeleo ya nchi yake. Anataka nafasi ya S.Africa na Nigeria. Au tuseme anatamani Rwanda iwe kama Israel. Taifa dogo lenye uchumi mkubwa, elimu kubwa, nguvu kubwa na kadhalika.

Mpo hapo?
 
Sisi wasomi wa psychology hatumchukii huyo jamaa Bali tunajua aliathiriwa na malezi duni ya utotoni!yaani vita na umwagikaji damu plus maiti alizoona utotoni ndizo zimeharibu akili na ubongo wake haoni shida kuua Wala kupoteza watu!!

Ndio maana haachii nchi coz anajua fika hatokua salama Kwa kisasi Toka Kwa adui zake!!

Pole comrade Paulo kagame!
 
Jamaa ni kiongizi Wala hakuna Cha nchi ni ndogo au kubwa kiasi gani, uongozi wake ni uongozi Bora.
 
Kagame nikija kukutana na jeshi lake, ndipo atajua watanzania Ni watu WA aina gani
 
Back
Top Bottom