ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Tuwape pongezi simba kwa goli tatu bila lakini najiuliza nini kiliwakuta wageni kuwa wazito kupitiliza?
Yaani hata kwa macho tu imeshangaza sana.
Yaani hata kwa macho tu imeshangaza sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuwape pongezi simba kwa goli tatu bila lakini najiuliza nini kiliwakuta wageni kuwa wazito kupitiliza?
Yaani hata kwa macho tu...imeshangaza sana...
Kwa sababu Simba waliroga[emoji3061]
Sc vitta ya congo ina wazungu tupuInasemekana Hali ya hewa hapa kwetu inawaathiri wachezaji wengi hasa wazungu
Ndo maana kocha wao akawa anatoa wazungu anajaza wabantu..
Hasa Yule mkenya alimuingiza kusudi kuendana na Hali ya hewa hapa kwetu
Na uliona mfano Yule mkenya alikuwa na nafuu sana kuliko wengine
Tuwape pongezi simba kwa goli tatu bila lakini najiuliza nini kiliwakuta wageni kuwa wazito kupitiliza?
Yaani hata kwa macho tu...imeshangaza sana...
Hata kutuliza mipira walikuwa hawaweziTuwape pongezi simba kwa goli tatu bila lakini najiuliza nini kiliwakuta wageni kuwa wazito kupitiliza?
Yaani hata kwa macho tu...imeshangaza sana...
kuloga haku apply logic. wao walikuwa wana kazi moja tu. kulinda ushindi walioupata nyumbanKwa sababu Simba waliroga[emoji3061]
Wengi mmewaangalia kwenye game za simba tu. Kiufupi pale hamna team kama uliangalia game zao za makundi utanielewa.Tuwape pongezi simba kwa goli tatu bila lakini najiuliza nini kiliwakuta wageni kuwa wazito kupitiliza?
Yaani hata kwa macho tu...imeshangaza sana...
Hiki ndicho kinachodidimiza soka letu harafu tunajitapa kuwa tunacheza Sana wakati timu pinzani zinachezewa.Tuwape pongezi simba kwa goli tatu bila lakini najiuliza nini kiliwakuta wageni kuwa wazito kupitiliza?
Yaani hata kwa macho tu...imeshangaza sana...
Hawakuwa wazito kamwe wangekuwa wazito south isingesoma possession 65%Kwa nini Simba walikuwa wazito kule South Afrika
Hororya unaijua vizuri? Wameshiriki hatua ya makundi ya klabu mara ngapi mfululizo?Wengi mmewaangalia kwenye game za simba tu. Kiufupi pale hamna team kama uliangalia game zao za makundi utanielewa.
Kua nafasi za chini kwenye ligi yao hawako huko kwa bahati mbaya.