Kwanini Kaizer Walikua Wazito Uwanjani?

Kwanini Kaizer Walikua Wazito Uwanjani?

Jiulize timu zote 8 zilizofika robo nani kapewa penalti? Unafikiri timu zote 8 watu hawajashika ama kucheza rafu kwenye box?

Kwa iyo mechi zote za robo umeziangalia wewe,au unaongea tu uonekane unajua
 
Umejiuliza swali la msingi sana ndugu utopolo, swali la nyongeza lipo?
Tarehe 3 usikimbie tena.
 
Nilidhani peke yangu tu, nimeliona hilo...

Hata hivyo walishajihakikishia kupita ndiyo maana wakawa hawana wasi wasi...
 
Tuwape pongezi simba kwa goli tatu bila lakini najiuliza nini kiliwakuta wageni kuwa wazito kupitiliza?

Yaani hata kwa macho tu imeshangaza sana.
Si ukamuulize mama yako itakuwa aliwapa sana pale sehem
 
Tuwape pongezi simba kwa goli tatu bila lakini najiuliza nini kiliwakuta wageni kuwa wazito kupitiliza?

Yaani hata kwa macho tu imeshangaza sana.
Jamaa walipitiliza kwenye kuroga,walikufuru kabisa
 

Attachments

  • VID-20210522-WA0014.mp4
    6.1 MB
Wengi mmewaangalia kwenye game za simba tu. Kiufupi pale hamna team kama uliangalia game zao za makundi utanielewa.
Kua nafasi za chini kwenye ligi yao hawako huko kwa bahati mbaya.
Wale wamefungiwa miaka 2 kusajili ndio maana kule psl wapo nafasi ya 9,kwa kurogwa jana walirogwa haswa tena sio kitoto
 
Swali limeulizwa kwanini timu pinzani inapocheza na Simba kwa mkapa wanaonekana ni wazito? Platinum walivyocheza Dar walikuwa ni wazito, Al Ahly nao walivyokuja dar dar nao walikuwa wazito vile vile utafikiri ni timu ya amateur sio professional hadi tukajua Simba kwa mpira ule akienda Sudan wale wasudani watapigwa wiki lakini wakarudi kwenye usimba wao OG nakutoa sare kule Sudan. Jana Kaizer chief walikuwa wazito uwanjani hata kutuliza mipira hawajui kama vile ni timu ya mchangani
Plus ndumba

20210523_064850.jpg
 
Kuhusu nazi na paka mimi sitaki kusema sana ila huu ukweli upo mimi nimeshuhudia haya mambo katika mpira sio kuambiwa ila kama unafanya kazi hapo sina uhakika maana tungekuwa mabingwa kila mwaka lakini sisi tunaoamini sana hayo hatujawahi kuchukuwa ubingwa wa Africa au kuna masharti yake sijui ila kwa hili la hali ya hewa lina ukweli na hata labda Simba lile baridi la kusini liliwapa shida.
 
Nyinyi mmefungwa 4 south bila penalti hata moja, onyango alicheza rafu kibao za penalt kule south refa alipeta..

Stage kama hizi kwenye caf hakunaga kupewa penalti kiurahisi.. ndio maana mechi zote za robo, timu zote 8 hakuna timu hata moja iliyopewa penalty.. marefa wameshaambiwa wasitoe penalty wakaonekana wanambeba mtu
Refa alikuwa mzuri hapo mimi nakataa kuwa labda kanyima penalty hapana tusiende huko Simba alipoteza game SA na kwa ukweli kabisa katika team zote zilizobaki Kaizer ndio walikuwa wanaonekana ni dhaifu na naamini ni dhaifu kufaninisha na waliobaki. Hizi team za N. Africa wakifika hatua za mtoano wanajuwa sana mbinu za kufika final. Simba kosa kubwa walifanya SA kutaka kucheza kama wanacheza home na dharau waliona kama wamepita kushtuka goal 4 ndio mechi iliishia pale hakuna kufa kiume wala kike hii ni aggregate game wamecheza karata zao sawa ila Kaizer walikuwa wepesi kwa ukweli.
 
Back
Top Bottom