Kwanini Kaizer Walikua Wazito Uwanjani?

Kwanini Kaizer Walikua Wazito Uwanjani?

REFA KAWAOKOA, PENATI 2 ZA WAZI WATU WAMENAWA Refa Kapeta....! Yule Angekuwa Uwanja Wa Magunia Msasani Asingetoka

Nyinyi mmefungwa 4 south bila penalti hata moja, onyango alicheza rafu kibao za penalt kule south refa alipeta..

Stage kama hizi kwenye caf hakunaga kupewa penalti kiurahisi.. ndio maana mechi zote za robo, timu zote 8 hakuna timu hata moja iliyopewa penalty.. marefa wameshaambiwa wasitoe penalty wakaonekana wanambeba mtu
 
Du , Marefa Wameshaambiwa....
 
Du , Marefa Wameshaambiwa....

Wameambiwa ndio.. toka mechi ya esperence na waydad iharibike.. marefa wamekaziwa sana na caf kwenye mechi kubwa za mtoano,kuanzia nusu fainali mpaka fainali VAR pia inatumika kabisa
 
Kamati ya Ufundi ilifanya kazi yake ipasavyo
mtaongea sana ndugu zetu hapa hamkuwaga na kamati ya fundi hata kombe la shirikisho kundi rahisi hivi mnahnyahanya
fungu la kukosa.PNG
 
Wameambiwa ndio.. toka mechi ya esperence na waydad iharibike.. marefa wamekaziwa sana na caf kwenye mechi kubwa za mtoano,kuanzia nusu fainali mpaka fainali VAR pia inatumika kabisa
Mkuu football inaongozwa na sheria 17 na sio maagizo ya flani
Mda mwingine figisu hufanyika na hili huwa kwa uchache sana
 
Mkuu football inaongozwa na sheria 17 na sio maagizo ya flani
Mda mwingine figisu hufanyika na hili huwa kwa uchache sana

Jiulize timu zote 8 zilizofika robo nani kapewa penalti? Unafikiri timu zote 8 watu hawajashika ama kucheza rafu kwenye box?
 
Hororya unaijua vizuri? Wameshiriki hatua ya makundi ya klabu mara ngapi mfululizo?
Mipango ya horoya nimeipenda wakikosa makundi klabu bingwa utawakuta shirikisho na hawana hata muda mrefu toka waanze kucheza izi nafasi....
 
Jiulize timu zote 8 zilizofika robo nani kapewa penalti? Unafikiri timu zote 8 watu hawajashika ama kucheza rafu kwenye box?
Mda mwingine matukio huwa ya haraka sana mkuu ndani ya sekunde tuu kumbuka mwamuzi si roboti
Huwa anatumia busara kutoa maamuzi
 
Mda mwingine matukio huwa ya haraka sana mkuu ndani ya sekunde tuu kumbuka mwamuzi si roboti
Huwa anatumia busara kutoa maamuzi

Nimekuuliza timu zote why zisipewe penalti katika mech 8 za robo? Mechi ya esperence na waydad imebadili waamuz wa africa kwenye mechi kubwa
 
Nimekuuliza timu zote why zisipewe penalti katika mech 8 za robo? Mechi ya esperence na waydad imebadili waamuz wa africa kwenye mechi kubwa
Kama hakuna seriously offence penati itatokaje mkuu
Au unafikiri ni karanga kila timu ipewe
Open ur mind dude
 
Nyie majirani mtaacha hizo, yaani ile dawa ya kishua kumbe? 😂 😂 😂
 
Natamani kuwasikia wachezaji wa kaizer wakielezea jinsi walivyokua wakijisikia uwanjani
 
Nimekuuliza timu zote why zisipewe penalti katika mech 8 za robo? Mechi ya esperence na waydad imebadili waamuz wa africa kwenye mechi kubwa
Punguza uongo mechi ya Kwanza ya waydad alipewa penati dhidi USM Algers
 
Inasemekana Hali ya hewa hapa kwetu inawaathiri wachezaji wengi hasa wazungu

Ndo maana kocha wao akawa anatoa wazungu anajaza wabantu..
Hasa Yule mkenya alimuingiza kusudi kuendana na Hali ya hewa hapa kwetu
Na uliona mfano Yule mkenya alikuwa na nafuu sana kuliko wengine

FC Platnum waligongwa 4 UCHI na Simba, As Vita waligongwa 4 pia

El Merreikh ya Sudán kulipo na nyuzi joto takribani 33+ waligongwa TATU UCHI hapa kwa Mkapa

Na hawana ngozi nyeupe hata mmoja

Tukubali Simba kwa sasa ni timu bora ktk ukanda huu wa Afrika Mashariki na Kati plus ukanda wa Zambia, Msumbiji, Zimbabwe nk
 
Swali limeulizwa kwanini timu pinzani inapocheza na Simba kwa mkapa wanaonekana ni wazito? Platinum walivyocheza Dar walikuwa ni wazito, Al Ahly nao walivyokuja dar dar nao walikuwa wazito vile vile utafikiri ni timu ya amateur sio professional hadi tukajua Simba kwa mpira ule akienda Sudan wale wasudani watapigwa wiki lakini wakarudi kwenye usimba wao OG nakutoa sare kule Sudan. Jana Kaizer chief walikuwa wazito uwanjani hata kutuliza mipira hawajui kama vile ni timu ya mchangani
 
Hilo nalo lakuuliza? Mambo ya kamati za ufundi. Hao jamaa huwa sio mchezo wao. Ukibisha nenda YOUTUBE ukaangalie highlight za mechi zao.

Highlights sio media ya kutambua gameplay ya soka,maana huwa inaonyesha matukio mazur tu ya uwanjan,haswa malengo ni kuonyesha matukio yalyopelekea on targets,off targets na fouls
 
Hiki ndicho kinachodidimiza soka letu harafu tunajitapa kuwa tunacheza Sana wakati timu pinzani zinachezewa

Timu nyingi zishapereka malalamiko CAF kupuliziwa madawa zikagomewa

Hebu ona Simba ambavyo waliachiwa vzr Tu SA wakafungwa Kwa mbinu za uwanjani Leo Sisi kujitapa mpira upo upo kumbe ni kuangamiza timu nje ya uwanja harafu mnasema tumewafunga

No research no right to talk,ume prove wapi wanachazewa,au ndo taarifa za kusoma mitandaoni na kudanganyana,
 
Back
Top Bottom