Kwanini Kaizer Walikua Wazito Uwanjani?

Inasemekana Hali ya hewa hapa kwetu inawaathiri wachezaji wengi hasa wazungu

Ndo maana kocha wao akawa anatoa wazungu anajaza wabantu.

Hasa Yule mkenya alimuingiza kusudi kuendana na Hali ya hewa hapa kwetu.

Na uliona mfano Yule mkenya alikuwa na nafuu sana kuliko wengine
 
Tuwape pongezi simba kwa goli tatu bila lakini najiuliza nini kiliwakuta wageni kuwa wazito kupitiliza?
Yaani hata kwa macho tu...imeshangaza sana...
Wengi mmewaangalia kwenye game za simba tu. Kiufupi pale hamna team kama uliangalia game zao za makundi utanielewa.
Kua nafasi za chini kwenye ligi yao hawako huko kwa bahati mbaya.
 
Tuwape pongezi simba kwa goli tatu bila lakini najiuliza nini kiliwakuta wageni kuwa wazito kupitiliza?
Yaani hata kwa macho tu...imeshangaza sana...
Hiki ndicho kinachodidimiza soka letu harafu tunajitapa kuwa tunacheza Sana wakati timu pinzani zinachezewa.

Timu nyingi zishapereka malalamiko CAF kupuliziwa madawa zikagomewa

Hebu ona Simba ambavyo waliachiwa vzr Tu SA wakafungwa Kwa mbinu za uwanjani Leo Sisi kujitapa mpira upo upo kumbe ni kuangamiza timu nje ya uwanja harafu mnasema tumewafunga
 
Wengi mmewaangalia kwenye game za simba tu. Kiufupi pale hamna team kama uliangalia game zao za makundi utanielewa.
Kua nafasi za chini kwenye ligi yao hawako huko kwa bahati mbaya.
Hororya unaijua vizuri? Wameshiriki hatua ya makundi ya klabu mara ngapi mfululizo?
 
REFA KAWAOKOA, PENATI 2 ZA WAZI WATU WAMENAWA Refa Kapeta....! Yule Angekuwa Uwanja Wa Magunia Msasani Asingetoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…