REFA KAWAOKOA, PENATI 2 ZA WAZI WATU WAMENAWA Refa Kapeta....! Yule Angekuwa Uwanja Wa Magunia Msasani Asingetoka
Du , Marefa Wameshaambiwa....Nyinyi mmefungwa 4 south bila penalti hata moja, onyango alicheza rafu kibao za penalt kule south refa alipeta..
Stage kama hizi kwenye caf hakunaga kupewa penalti kiurahisi.. ndio maana mechi zote za robo, timu zote 8 hakuna timu hata moja iliyopewa penalty.. marefa wameshaambiwa wasitoe penalty wakaonekana wanambeba mtu
Du , Marefa Wameshaambiwa....
mtaongea sana ndugu zetu hapa hamkuwaga na kamati ya fundi hata kombe la shirikisho kundi rahisi hivi mnahnyahanyaKamati ya Ufundi ilifanya kazi yake ipasavyo
Ccm magunia msasani 😂😂😂😂🤣umenikumbusha zamani kiongozi uwanja wa bongoyo fc enzi hizoREFA KAWAOKOA, PENATI 2 ZA WAZI WATU WAMENAWA Refa Kapeta....! Yule Angekuwa Uwanja Wa Magunia Msasani Asingetoka
Mkuu football inaongozwa na sheria 17 na sio maagizo ya flaniWameambiwa ndio.. toka mechi ya esperence na waydad iharibike.. marefa wamekaziwa sana na caf kwenye mechi kubwa za mtoano,kuanzia nusu fainali mpaka fainali VAR pia inatumika kabisa
Mkuu football inaongozwa na sheria 17 na sio maagizo ya flani
Mda mwingine figisu hufanyika na hili huwa kwa uchache sana
Mipango ya horoya nimeipenda wakikosa makundi klabu bingwa utawakuta shirikisho na hawana hata muda mrefu toka waanze kucheza izi nafasi....Hororya unaijua vizuri? Wameshiriki hatua ya makundi ya klabu mara ngapi mfululizo?
Mda mwingine matukio huwa ya haraka sana mkuu ndani ya sekunde tuu kumbuka mwamuzi si robotiJiulize timu zote 8 zilizofika robo nani kapewa penalti? Unafikiri timu zote 8 watu hawajashika ama kucheza rafu kwenye box?
Mda mwingine matukio huwa ya haraka sana mkuu ndani ya sekunde tuu kumbuka mwamuzi si roboti
Huwa anatumia busara kutoa maamuzi
Kama hakuna seriously offence penati itatokaje mkuuNimekuuliza timu zote why zisipewe penalti katika mech 8 za robo? Mechi ya esperence na waydad imebadili waamuz wa africa kwenye mechi kubwa
Punguza uongo mechi ya Kwanza ya waydad alipewa penati dhidi USM AlgersNimekuuliza timu zote why zisipewe penalti katika mech 8 za robo? Mechi ya esperence na waydad imebadili waamuz wa africa kwenye mechi kubwa
Inasemekana Hali ya hewa hapa kwetu inawaathiri wachezaji wengi hasa wazungu
Ndo maana kocha wao akawa anatoa wazungu anajaza wabantu..
Hasa Yule mkenya alimuingiza kusudi kuendana na Hali ya hewa hapa kwetu
Na uliona mfano Yule mkenya alikuwa na nafuu sana kuliko wengine
Swali limeulizwa kwanini timu pinzani inapocheza na Simba kwa mkapa wanaonekana ni wazito? Platinum walivyocheza Dar walikuwa ni wazito, Al Ahly nao walivyokuja dar dar nao walikuwa wazito vile vile utafikiri ni timu ya amateur sio professional hadi tukajua Simba kwa mpira ule akienda Sudan wale wasudani watapigwa wiki lakini wakarudi kwenye usimba wao OG nakutoa sare kule Sudan. Jana Kaizer chief walikuwa wazito uwanjani hata kutuliza mipira hawajui kama vile ni timu ya mchanganiFC Platnum waligongwa 4 UCHI na Simba, As Vita waligongwa 4 pia
El Merreikh ya Sudán kulipo na nyuzi joto takribani 33+ waligongwa TATU UCHI hapa kwa Mkapa
Na hawana ngozi nyeupe hata mmoja
Tukubali Simba kwa sasa ni timu bora ktk ukanda huu wa Afrika Mashariki na Kati plus ukanda wa Zambia, Msumbiji, Zimbabwe nk
Hilo nalo lakuuliza? Mambo ya kamati za ufundi. Hao jamaa huwa sio mchezo wao. Ukibisha nenda YOUTUBE ukaangalie highlight za mechi zao.
Kamati ya Ufundi ilifanya kazi yake ipasavyo
Kwa sababu Simba waliroga[emoji3061]
Washirikina wakubwa ninyi[emoji1][emoji1][emoji1]Kuna mganga alivunja nazi[emoji2]
Hiki ndicho kinachodidimiza soka letu harafu tunajitapa kuwa tunacheza Sana wakati timu pinzani zinachezewa
Timu nyingi zishapereka malalamiko CAF kupuliziwa madawa zikagomewa
Hebu ona Simba ambavyo waliachiwa vzr Tu SA wakafungwa Kwa mbinu za uwanjani Leo Sisi kujitapa mpira upo upo kumbe ni kuangamiza timu nje ya uwanja harafu mnasema tumewafunga