Watakuwa wamelambishwa asaliSalaam!!
Nimekuwa nikijiuliza, ni kitu gani kimewapata hawa watu mpaka leo mwezi mzima unakaribia kwisha bila kuambiwa chochote kuhusu hatma ya mashtaka waliyokutwa nayo, Afisa habari wa Yanga, Manara, na Rais wa klabu hiyo Hersi.
Huu ukimya unaanza kuleta maswali, wadau wa mpira tunataka kujua ni kipi kinachosababisha hilo suala la hao jamaa kuchukua muda mrefu bila kutolewa uamuzi.
TFF ni vyema na muhimu sana ije na majibu ili kuondoa utata unaojitokeza, au kama yupo anayejua kinachoendelea atuwekee hapa na wengine tujue.
Nawasilisha.
"Mashabiki wote wa Simba FC A.K.A MAKOLOKOLO FC ni MBUMBUMBU"Ndiyo mnayiwaza haya! Timu inafungwa goli 4-0, kwako siyo shida! Furaha yako ni kuona Manara na Hersi wakifungiwa na hiyo TFF yenu!!
Ok.
Wenhine tulikiwa hatuna wazo hilo, ila tumekumbushwa na Manara kupitia malalamiko yake kuwa TFF kwenye maswala ya Yanga inajibu kwa harakaNdiyo mnayiwaza haya! Timu inafungwa goli 4-0, kwako siyo shida! Furaha yako ni kuona Manara na Hersi wakifungiwa na hiyo TFF yenu!!
Ok.
Wamesahau bado mpaka muda huu hawana mshambuliaji wa kueleweka kwenye timu yao! Ila kwa umbumbumbu alio uita Rage, wote akili zao zimehamia kwa Haji Manara na Tuisila Kisinda!"Mashabiki wote wa Simba FC A.K.A MAKOLOKOLO FC ni MBUMBUMBU"
[emoji115][emoji115] ADEN RAGE.
Wa Yanga ni mataahira kabisa"Mashabiki wote wa Simba FC A.K.A MAKOLOKOLO FC ni MBUMBUMBU"
[emoji115][emoji115] ADEN RAGE.
Kwa hiyo nyinyi ni ndege aina ya chiriku!! Maana kila anachokisema huyo Haji Manara wenu, basi lazima mje mkivalie bango humu jukwaani!Wenhine tulikiwa hatuna wazo hilo, ila tumekumbushwa na Manara kupitia malalamiko yake kuwa TFF kwenye maswala ya Yanga inajibu kwa haraka
Kama inajibu kwa haraka why hili la hersi na yeye livhukue muda mrefu kiasi hiki?
Mbona na nyie kauli ya Rage mnainukuu 24/7?Kwa hiyo nyinyi ni ndege aina ya chiriku!! Maana kila anachokisema huyo Haji Manara wenu, basi lazima mje mkivalie bango humu jukwaani!
Sisi hatukivalii njuga, tunajaribu kugawa elimu kwa wafuasi wake wanaochukua maneno yake bila tafakuri.Kwa hiyo nyinyi ni ndege aina ya chiriku!! Maana kila anachokisema huyo Haji Manara wenu, basi lazima mje mkivalie bango humu jukwaani!
Sasa Ismail Aden Rage si alikuwa ni rais wenu wa club! Na mpaka sasa bado ni mwanachama na shabiki lia lia wa club yenu! Na hajawahi kuyakana haya maneno yake!Mbona na nyie kauli ya Rage mnainukuu 24/7?
Sasa Ismail Aden Rage si alikuwa ni rais wenu wa club! Na mpaka sasa bado ni mwanachama na shabiki lia lia wa club yenu! Na hajawahi kuyakana haya maneno yake!
That means bado yanaishi. Na mfano mzuri nikuulize muda huu kuhusu zilipo zile bilioni 20 za mwekezaji, na zile bilioni 26 za Mbet, sidhani kama utakuwa na majibi sahihi! Halafu neno mbumbumbu linamaanisha mtu asiyefahamu kitu fulani! Halina maana mbaya kihivyo!!! Sawa mkurugenzi!
Na kuhusu Haji Manara! Ni wakati sasa mnatakiwa kumpuuza. Maana Bado siyo mwanachama mwenzenu wa simba! Siyo msemaji wenu! Huyu ni MC tu kwa sasa! Ukimhitaji kwenye sherehe yako, anakuja kufanya kazi. Hivyo muanze sasa kumpuuza na pia kumsahau.
Jibu hoja punguza vihoja vyako tafadhali.Ndiyo mnayowaza haya! Timu inafungwa goli 4-0, kwako siyo shida! Furaha yako ni kuona Manara na Hersi wakifungiwa na hiyo TFF yenu!!
Ok. Wakumbushe wawafungie haraka, halafu tuone hiyo faida itakayo patikana.
Pointi ya msingi.Wenhine tulikiwa hatuna wazo hilo, ila tumekumbushwa na Manara kupitia malalamiko yake kuwa TFF kwenye maswala ya Yanga inajibu kwa haraka
Kama inajibu kwa haraka why hili la hersi na yeye livhukue muda mrefu kiasi hiki?
Naona mnazidi kuthibitisha umbumbumbu wenu kwa vitendo, jibuni hoja.Wamesahau bado mpaka muda huu hawana mshambuliaji wa kueleweka kwenye timu yao! Ila kwa umbumbumbu alio uita Rage, wote akili zao zimehamia kwa Haji Manara na Tuisila Kisinda!
Ungeielewa pointi ya huyo jamaa, kisha ujumlishe na kile nilichokiandika mimi, ungeona alivyo na akili nyingi huku wewe ukizidi kutoka nje ya mada.Kwa hiyo nyinyi ni ndege aina ya chiriku!! Maana kila anachokisema huyo Haji Manara wenu, basi lazima mje mkivalie bango humu jukwaani!
Tate mkuu Kabla ya Manara kujiunga na utopolo ndiye aliyekuwa akionekana mwenye unafuu wa kiakili kule utopoloni ukiacha wale wawili (Sunday Manara na Kikwete) .Lakini tangu Manara domokaya kuamia utopoloni nae amegeuka kuwa kwenye lile kundi la wengi yaani "Hamnazo"Jibu hoja punguza vihoja vyako tafadhali.
Manara ameshafanikiwa kujaza ujinga kwenye kichwa chako.
Halafu, sikutegemea kama hata naye, atakuwa HAMNAZO!Jibu hoja punguza vihoja vyako tafadhali.
Manara ameshafanikiwa kujaza ujinga kwenye kichwa chako.