Kwanini Kamati ya Maadili TFF ipo kimya kwenye suala la Manara na Hersi?

Kwanini Kamati ya Maadili TFF ipo kimya kwenye suala la Manara na Hersi?

Tate mkuu Kabla ya Manara kujiunga na utopolo ndiye aliyekuwa akionekana mwenye unafuu wa kiakili kule utopoloni ukiacha wale wawili (Sunday Manara na Kikwete) .Lakini tangu Manara domokaya kuamia utopoloni nae amegeuka kuwa kwenye lile kundi la wengi yaani "Hamnazo"

Mwenye ushauri kwake tafadhali auweke humu jf jamaa arejee kwenye akili yake ya awali.

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Sijui kwanini wamekubali kuwa misukule wa yule mjinga.
 
.........hwana mshambuliaji wa kueleweka wakati ndio wanaongoza kwa kufunga magoli mengi.Au una maana magoli yapi?????????????????
Msamehe bure, akili alizonazo sasa sio zake, tumuombee zile akili zake zimrudie.
 
Back
Top Bottom