SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Sifa kubwa ya kuwa mwanayanga ni kujitoa ufahamuHalafu, sikutegemea kama hata naye, atakuwa HAMNAZO!
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sifa kubwa ya kuwa mwanayanga ni kujitoa ufahamuHalafu, sikutegemea kama hata naye, atakuwa HAMNAZO!
.........hwana mshambuliaji wa kueleweka wakati ndio wanaongoza kwa kufunga magoli mengi.Au una maana magoli yapi?????????????????Wamesahau bado mpaka muda huu hawana mshambuliaji wa kueleweka kwenye timu yao! Ila kwa umbumbumbu alio uita Rage, wote akili zao zimehamia kwa Haji Manara na Tuisila Kisinda!
Sijui kwanini wamekubali kuwa misukule wa yule mjinga.Tate mkuu Kabla ya Manara kujiunga na utopolo ndiye aliyekuwa akionekana mwenye unafuu wa kiakili kule utopoloni ukiacha wale wawili (Sunday Manara na Kikwete) .Lakini tangu Manara domokaya kuamia utopoloni nae amegeuka kuwa kwenye lile kundi la wengi yaani "Hamnazo"
Mwenye ushauri kwake tafadhali auweke humu jf jamaa arejee kwenye akili yake ya awali.
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Ok. Mkianza kulalamikia washambuliaji wenu butu, nitarudi kuwakumbusha..........hwana mshambuliaji wa kueleweka wakati ndio wanaongoza kwa kufunga magoli mengi.Au una maana magoli yapi?????????????????
Mtu na mjomba wake mumekutana,safi sana.Ok. Mkianza kulalamikia washambuliaji wenu butu, nitarudi kuwakumbusha.