denooJ
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 18,509
- 68,228
Salaam!!
Nimekuwa nikijiuliza, ni kitu gani kimewapata hawa watu mpaka leo mwezi mzima unakaribia kwisha bila kuambiwa chochote kuhusu hatma ya mashtaka waliyokutwa nayo, Afisa habari wa Yanga, Manara, na Rais wa klabu hiyo Hersi.
Huu ukimya unaanza kuleta maswali, wadau wa mpira tunataka kujua ni kipi kinachosababisha hilo suala la hao jamaa kuchukua muda mrefu bila kutolewa uamuzi.
TFF ni vyema na muhimu sana ije na majibu ili kuondoa utata unaojitokeza, au kama yupo anayejua kinachoendelea atuwekee hapa na wengine tujue.
Nawasilisha.