Tangawizi
JF-Expert Member
- Jun 25, 2009
- 6,696
- 6,734
Pugu shule gani? Mnasahau zile shule ambazo zilichukuliwa na serikali ili watu wote wasome? Nyingine zilikuwa mali ya kanisa. Na kama zimetumika miaka yote hii, kwanini leo ndio iwe hoja? Tunaanza kurudi nyuma, na tutageuka minara ya chumvi.Mimi leo nimesali Pugu Catholich church na ni parokia. Kuna kitu kimenishtua kukuta kanisa liko katikati ya madarasa ambapo kelele na fujo zote wanafunzi wanazipata moja kwa moja.
Hivi ilikuwaje Serikali ikakubali kanisa lijengwe katikati ya madarasa tena ni parokia. Je, na makanisa mengine yakitaka kujenga katikati ya madarasa hayo itakuwaje?
Serikali liangalieni hilo plz.
Watanzania, kama tusipobadilika, tutaungana na wajinga wenzetu wote wanaouana halafu mali zao wanachukua watu wa mashariki ya mbali ili kuendeleza nchi zao.
Tuache haya mamboya kufikiria urefu wa pua zetu tu