Mpina karudisha fomu jana,ila sijasikia wengine waliochukua kwenye jimbo hiloBinafsi kule kisesa sijajua hata kama mpina kachukua fomu au laah na wala sijajua kama kuna kada mwingine aliyejitokeza labda mwenye kujua atujuze
Sasa kauli zake zinakushangaza kitu gani?Nasema hivi, kasimu hakujiuzuru kwa kupenda la hasha! Huyu alikuwa anautaka ubunge sema cctimu imemtema
Yaani ndani ya miezi miwili kauli mbili tofauti mara ntagombea mara stogombea
Lakini mbona umezingua dadikia za mwisho?😝
Wajf nisaidieni yule Alima mdee amejiunga ccm?
Je luaga mpina ana mpinzani jimboni mwake?
Safi sana mbunge wa TaifaMpina karudisha fomu jana,ila sijasikia wengine waliochukua kwenye jimbo hilo
Ashachukua Ile siku ya mwisho na kurudisha siku Ile Ile, na ni yeye pekée tuuBinafsi kule kisesa sijajua hata kama mpina kachukua fomu au laah na wala sijajua kama kuna kada mwingine aliyejitokeza labda mwenye kujua atujuze
SafAshachukua Ile siku ya mwisho na kurudisha siku Ile Ile, na ni yeye pekée tuu
Watu wanamkubali sana kumbeAshachukua Ile siku ya mwisho na kurudisha siku Ile Ile, na ni yeye pekée tuu
Vibaya mno ndo mana bi kidawa anamchukiaWatu wanamkubali sana kumbe
🤣Vibaya mno ndo mana bi kidawa anamchukia
hili nalo mbona si la kushangaza mjuba!, Lissu anaweza kushiriki uchaguzi hata bila reforms where is necessarySasa kauli zake zinakushangaza kitu gani?
Haukumbuki kipindi kile tukaaminishwa kwamba JPM anafanya kazi na na ana nguvu tuachane na maneno ya mtaani wakati mwamba anaumwa?
Mm sijashangaa kauli hii; ila ningeshangaa zaidi kama Lisu angesema atashiriki uchaguzi bila reforms
Ila Wanyantuzu ni noma,ndo maana walikuwa wanaenda kuchukua Ng'ombe Umasaini mchana kweupeWatu wanamkubali sana kumbe