Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
Moja ya kipimo Cha wazi Cha kukubalika Kwa kiongozi Kwa Karne hii Duniani ni pamoja na idadi ya watu wanaofuatilia hotuba na Taarifa zake kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii.
Njia hii inatumiwa na Dunia Kwa sababu tayari wananchi wengi kila Kona ya Dunia wanaweza kupata Taarifa kiganjani kupitia live streaming
Leo katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi amezungumza na vyombo vya habari ambapo kwenye live streaming wasikilizaji wapo chini ya mia Kwa vyombo vingi ikiwemo Mwananchi, Milard na hata accounts za Chama .
Kama Chama Cha siasa yapo maswali analysts wanapaswa kujiuliza.
Je Wana CCM awatumii mitandao ya kijamii?
Je, viongozi wa CcM wakiwemo mawaziri, wabunge, makatibu na wenyeviti wa chama kwanini awafuatiliii maelekezo yanayotolewa na mtendaji mkuu wa chama?
Haiwezekani kukawepo na mgomo baridi miongoni mwa wanachama?
Chongolo alistahili kushika nafasi kubwa kama hii kipindi hiki ambacho uelewa wa watu umepanuka Sana? Anao ubunifu wakukisimamia Chama bila msaada wa dola?
Hii inampa ishara Gani mwenyekiti wa chama?
Ipo wapi UVCCM? Kwanini wapinzania wawe na followers wengi Wakati CCM inaamisha umma Ina watu?