Kwanini Katibu Mkuu wa CCM amekosa kabisa ushawishi Kwa jamiii? Je, CCM wana mgomo baridi dhidi yake?

Sisiemu kwa sasa inaonekana imekatika katika kwa sababu ya makundi makundi....ngoja uone 2025 labda watajiunga tena ila mama awaangalie vizuri anaowasikiliza ngoma ikichemka watamwachia yeye😂😂😂........
 
Tokea lini vibaka wa kupora chaguzi wakawa na ushawishi ndani ya jamii?!

Rafiki yangu Beatrice siku hizi unaniangusha sana kwani unashindwa kuelewa vitu vidogo sana kama hivi.
 
Moja ya kipimo Cha wazi Cha kukubalika Kwa kiongozi Kwa Karne hii Duniani ni pamoja na idadi ya watu wanaofuatilia hotuba na Taarifa zake kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii.

Njia hii inatumiwa na Dunia Kwa sababu tayari wananchi wengi kila Kona ya Dunia wanaweza kupata Taarifa kiganjani kupitia live streaming

Leo katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi amezungumza na vyombo vya habari ambapo kwenye live streaming wasikilizaji wapo chini ya mia Kwa vyombo vingi ikiwemo Mwananchi, Milard na hata accounts za Chama .

Kama Chama Cha siasa yapo maswali analysts wanapaswa kujiuliza.
Je Wana CCM awatumii mitandao ya kijamii?
Je, viongozi wa CcM wakiwemo mawaziri, wabunge, makatibu na wenyeviti wa chama kwanini awafuatiliii maelekezo yanayotolewa na mtendaji mkuu wa chama?

Haiwezekani kukawepo na mgomo baridi miongoni mwa wanachama?

Chongolo alistahili kushika nafasi kubwa kama hii kipindi hiki ambacho uelewa wa watu umepanuka Sana? Anao ubunifu wakukisimamia Chama bila msaada wa dola?

Hii inampa ishara Gani mwenyekiti wa chama?

Ipo wapi UVCCM? Kwanini wapinzania wawe na followers wengi Wakati CCM inaamisha umma Ina watu?
Nakala kwa mamluki voicer
 
Kiongozi wa watu VS kiongozi wa Mapaka😁😁😁
AIzBUi.jpg
 
Kipimo cha aina hii ni vigumu sana kukupa mlinganisho sahihi.

Tukio la Mbowe ni 'unique'; la kipekee zaidi ambalo watu wana shauku ya kusikia atakayoelezea baada ya mikasa iliyompata.

Chongolo anazungumzia mambo ya kawaida, hakuna tukio la kipekee linalohusiana na mkutano wake huo. Hata sielewi ni nani aliyempangia azungumze wakati uleule Mbowe akizungumza. Hii ni kama wametegeshea kuondoa au kufifisha atakachokizungumzia Mbowe. Kama lengo lao lilikuwa hilo, basi huko CCM hakuna kitu tena.
Hilo ndio hasa lililuwa lengo lakini walisahau kuwa wao wamezoeleka masikion mwa watu hivyo hawawezi kupata attention kama ilivyo kwa mtu ambaye alikuwa na nyakati ngumu. Mipango ya hovyo huonesha uhovyo wa viongozi pia.
 
Kwani hujui kuwa bongo watu wengi wanapenda kufuatilia umbea kuliko vitu vya maana? Ukitaka kuthibitisha hili anzisha mada moja ya maana na nyingine ya kizushi halafu uone ipi itakuwa na watu wengi zaidi.

Mfano mada ya kwanza iwe
1. Mkakati kabambe wa kutatua tatizo la ukosefu wa ajira kwa vijana.

Na ya pili iwe;

2: connection ya undanduzi

Halafu matokeo utakayopata hutamlaumu tena katibu mkuu wa CCM
Hapa umekosea mkuu, nakufananisha na Jiwe au Bashite
 
Walionihuzunisha ni waandishi wa habari wanapewa nafasi ya kuuliza maswali wakawa hawana mtu aliyejiandaa au kujenga swali lenye hoja .
 
Huyu hana tofauti na Mukama. Mara zote uzoefu unaonesha wenye asili ya Pwani wame-perform zaidi (kwa viwango vya CCM) kuliko waswaga ng'ombe.
Watanzania wengi wanapenda mipasho na umbea ndo shida ipo hapo.
 
Ndege wa fananao huruka Kundi moja... Je yule Shaka?🤣🤣🤣🤣

Samia ni form 4 failure sio kwamba alifeli kwa sababu nyumbani Kuna shida la hasha ni debe tupu, so unatarajiaje aweze Kupenda kuwa Karibu na watu wenye akili
 
CCM hawapendi wazanzibari wapate nafasi za uongozi. Sema tu hawaonyeshi waziwazi. Hata mama analijua hilo ndio maana akina ndungay, lukuvu, polepole na ile team yote yamewakuta yaliyowakuta.
Ni nini hiki umeandika? Huu ukaburu haupo CCM. Zanzibar ni sehemu ya Tanzania!
 
Ndege wa fananao huruka Kundi moja... Je yule Shaka?🤣🤣🤣🤣

Samia ni form 4 failure sio kwamba alifeli kwa sababu nyumbani Kuna shida la hasha ni debe tupu, so unatarajiaje aweze Kupenda kuwa Karibu na watu wenye akili
Heshima heshima heshima heshima! Tafadhali sana.
 
Moja ya kipimo Cha wazi Cha kukubalika Kwa kiongozi Kwa Karne hii Duniani ni pamoja na idadi ya watu wanaofuatilia hotuba na Taarifa zake kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii.

Njia hii inatumiwa na Dunia Kwa sababu tayari wananchi wengi kila Kona ya Dunia wanaweza kupata Taarifa kiganjani kupitia live streaming

Leo katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi amezungumza na vyombo vya habari ambapo kwenye live streaming wasikilizaji wapo chini ya mia Kwa vyombo vingi ikiwemo Mwananchi, Milard na hata accounts za Chama .

Kama Chama Cha siasa yapo maswali analysts wanapaswa kujiuliza.
Je Wana CCM awatumii mitandao ya kijamii?
Je, viongozi wa CcM wakiwemo mawaziri, wabunge, makatibu na wenyeviti wa chama kwanini awafuatiliii maelekezo yanayotolewa na mtendaji mkuu wa chama?

Haiwezekani kukawepo na mgomo baridi miongoni mwa wanachama?

Chongolo alistahili kushika nafasi kubwa kama hii kipindi hiki ambacho uelewa wa watu umepanuka Sana? Anao ubunifu wakukisimamia Chama bila msaada wa dola?

Hii inampa ishara Gani mwenyekiti wa chama?

Ipo wapi UVCCM? Kwanini wapinzania wawe na followers wengi Wakati CCM inaamisha umma Ina watu?
Weka screenshots za viewers hapa. Kwa muda wote aliozungumza SG Chongolo.
 
Huyu hana tofauti na Mukama. Mara zote uzoefu unaonesha wenye asili ya Pwani wame-perform zaidi (kwa viwango vya CCM) kuliko waswaga ng'ombe.
[emoji23][emoji23]..waswaga ng'ombe..
 
Moja ya kipimo Cha wazi Cha kukubalika Kwa kiongozi Kwa Karne hii Duniani ni pamoja na idadi ya watu wanaofuatilia hotuba na Taarifa zake kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii.

Njia hii inatumiwa na Dunia Kwa sababu tayari wananchi wengi kila Kona ya Dunia wanaweza kupata Taarifa kiganjani kupitia live streaming

Leo katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi amezungumza na vyombo vya habari ambapo kwenye live streaming wasikilizaji wapo chini ya mia Kwa vyombo vingi ikiwemo Mwananchi, Milard na hata accounts za Chama .

Kama Chama Cha siasa yapo maswali analysts wanapaswa kujiuliza.
Je Wana CCM awatumii mitandao ya kijamii?
Je, viongozi wa CcM wakiwemo mawaziri, wabunge, makatibu na wenyeviti wa chama kwanini awafuatiliii maelekezo yanayotolewa na mtendaji mkuu wa chama?

Haiwezekani kukawepo na mgomo baridi miongoni mwa wanachama?

Chongolo alistahili kushika nafasi kubwa kama hii kipindi hiki ambacho uelewa wa watu umepanuka Sana? Anao ubunifu wakukisimamia Chama bila msaada wa dola?

Hii inampa ishara Gani mwenyekiti wa chama?

Ipo wapi UVCCM? Kwanini wapinzania wawe na followers wengi Wakati CCM inaamisha umma Ina watu?
Uvccm akili wamekabidhi kwa watu wengine wamebaki na vichwa kama makasha tu
 
Kipimo cha aina hii ni vigumu sana kukupa mlinganisho sahihi.

Tukio la Mbowe ni 'unique'; la kipekee zaidi ambalo watu wana shauku ya kusikia atakayoelezea baada ya mikasa iliyompata.

Chongolo anazungumzia mambo ya kawaida, hakuna tukio la kipekee linalohusiana na mkutano wake huo. Hata sielewi ni nani aliyempangia azungumze wakati uleule Mbowe akizungumza. Hii ni kama wametegeshea kuondoa au kufifisha atakachokizungumzia Mbowe. Kama lengo lao lilikuwa hilo, basi huko CCM hakuna kitu tena.
Kwa alivyoongea Mbowe sijui kama next time atapata audience ya maana!
 
hajajipanga kuwa katibu wa chama baada ya kumdhulumu bashiru
 
Back
Top Bottom