Kwanini Katibu Mkuu wa CCM amekosa kabisa ushawishi Kwa jamiii? Je, CCM wana mgomo baridi dhidi yake?

Huyu hana tofauti na Mukama. Mara zote uzoefu unaonesha wenye asili ya Pwani wame-perform zaidi (kwa viwango vya CCM) kuliko waswaga ng'ombe.
Katibu gani aliyeperform vizuri CCM?
 
Mwenyekiti wa chama alifeli form four
Katibu alifeli form four
Katibu mwenezi alifeli form four

Bado tatizo hulijui tu?
 
Ule uongo wako kuhusu Covid 19 umeishia wapi ?
Alibanwa hadi akatema ndoana. Muulize taratibu atakuambia. Halijaisha, litarudi. Nikuambie kwa kinywa kipana kwamba Mbowe hawezi na hataweza kukubali Halima Mdee afukuzwe ama asiwe Mbunge. Naamini Mbowe anafahamu wazi kwamba akimkosa mpambanaji wake Halima Mdee basi na uenyekiti utakuwa buriani. Halima ni right hand woman wa Mbowe, come sun come rain. Weka haya maneno kama akiba yako yatakufaa baadaye huko uendako.
 
Moja ya kipimo Cha wazi Cha kukubalika Kwa kiongozi Kwa Karne hii Duniani ni pamoja na idadi ya watu wanaofuatilia hotuba na Taarifa zake kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii.

Njia hii inatumiwa na Dunia Kwa sababu tayari wananchi wengi kila Kona ya Dunia wanaweza kupata Taarifa kiganjani kupitia live streaming

Leo katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi amezungumza na vyombo vya habari ambapo kwenye live streaming wasikilizaji wapo chini ya mia Kwa vyombo vingi ikiwemo Mwananchi, Milard na hata accounts za Chama .

Kama Chama Cha siasa yapo maswali analysts wanapaswa kujiuliza.
Je Wana CCM awatumii mitandao ya kijamii?
Je, viongozi wa CcM wakiwemo mawaziri, wabunge, makatibu na wenyeviti wa chama kwanini awafuatiliii maelekezo yanayotolewa na mtendaji mkuu wa chama?

Haiwezekani kukawepo na mgomo baridi miongoni mwa wanachama?

Chongolo alistahili kushika nafasi kubwa kama hii kipindi hiki ambacho uelewa wa watu umepanuka Sana? Anao ubunifu wakukisimamia Chama bila msaada wa dola?

Hii inampa ishara Gani mwenyekiti wa chama?

Ipo wapi UVCCM? Kwanini wapinzania wawe na followers wengi Wakati CCM inaamisha umma Ina watu?

Lichama lake limechokwa ! Na yeye ni pimbi !
 
Huyu hana tofauti na Mukama. Mara zote uzoefu unaonesha wenye asili ya Pwani wame-perform zaidi (kwa viwango vya CCM) kuliko waswaga ng'ombe.
Wewe ni mwongo na mkabila sana! Cheki enzi za Bashiru! Fuatilia mikutano ya Bashiru! Ndo utajua kanda ya ziwa kuna wafanyakazi sio mamwinyi wa kukaa balazani na kuamini wajomba wa ulaya wataisaidia Tz!
 
Alibanwa hadi akatema ndoana. Muulize taratibu atakuambia. Halijaisha, litarudi. Nikuambie kwa kinywa kipana kwamba Mbowe hawezi na hataweza kukubali Halima Mdee afukuzwe ama asiwe Mbunge. Naamini Mbowe anafahamu wazi kwamba akimkosa mpambanaji wake Halima Mdee basi na uenyekiti utakuwa buriani. Halima ni right hand woman wa Mbowe, come sun come rain. Weka haya maneno kama akiba yako yatakufaa baadaye huko uendako.
Vilevile usishangae nae Halima Mdee ndo mwanzilishi wa chama kipya Umoja Party!
 
Moja ya kipimo Cha wazi Cha kukubalika Kwa kiongozi Kwa Karne hii Duniani ni pamoja na idadi ya watu wanaofuatilia hotuba na Taarifa zake kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii.

Njia hii inatumiwa na Dunia Kwa sababu tayari wananchi wengi kila Kona ya Dunia wanaweza kupata Taarifa kiganjani kupitia live streaming

Leo katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi amezungumza na vyombo vya habari ambapo kwenye live streaming wasikilizaji wapo chini ya mia Kwa vyombo vingi ikiwemo Mwananchi, Milard na hata accounts za Chama .

Kama Chama Cha siasa yapo maswali analysts wanapaswa kujiuliza.
Je Wana CCM awatumii mitandao ya kijamii?
Je, viongozi wa CcM wakiwemo mawaziri, wabunge, makatibu na wenyeviti wa chama kwanini awafuatiliii maelekezo yanayotolewa na mtendaji mkuu wa chama?

Haiwezekani kukawepo na mgomo baridi miongoni mwa wanachama?

Chongolo alistahili kushika nafasi kubwa kama hii kipindi hiki ambacho uelewa wa watu umepanuka Sana? Anao ubunifu wakukisimamia Chama bila msaada wa dola?

Hii inampa ishara Gani mwenyekiti wa chama?

Ipo wapi UVCCM? Kwanini wapinzania wawe na followers wengi Wakati CCM inaamisha umma Ina watu?
CCM ni chama kilichokufa, kinatumia dola tu kubaki madarakani, lakin mtaani kwa watu hamna mtu ana time nao
 
Katibu mkuu wa chama haitaji ushawishi kikubwa ni utendaji kazi uliotukuka. Namkubali sana Daniel Chongolo. Ni kati ya viungo lulu kwenye siasa zinazoendana na wakati tuliopo
 
Moja ya kipimo Cha wazi Cha kukubalika Kwa kiongozi Kwa Karne hii Duniani ni pamoja na idadi ya watu wanaofuatilia hotuba na Taarifa zake kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii.

Njia hii inatumiwa na Dunia Kwa sababu tayari wananchi wengi kila Kona ya Dunia wanaweza kupata Taarifa kiganjani kupitia live streaming

Leo katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi amezungumza na vyombo vya habari ambapo kwenye live streaming wasikilizaji wapo chini ya mia Kwa vyombo vingi ikiwemo Mwananchi, Milard na hata accounts za Chama .

Kama Chama Cha siasa yapo maswali analysts wanapaswa kujiuliza.
Je Wana CCM awatumii mitandao ya kijamii?
Je, viongozi wa CcM wakiwemo mawaziri, wabunge, makatibu na wenyeviti wa chama kwanini awafuatiliii maelekezo yanayotolewa na mtendaji mkuu wa chama?

Haiwezekani kukawepo na mgomo baridi miongoni mwa wanachama?

Chongolo alistahili kushika nafasi kubwa kama hii kipindi hiki ambacho uelewa wa watu umepanuka Sana? Anao ubunifu wakukisimamia Chama bila msaada wa dola?

Hii inampa ishara Gani mwenyekiti wa chama?

Ipo wapi UVCCM? Kwanini wapinzania wawe na followers wengi Wakati CCM inaamisha umma Ina watu?
CCM ipi unayoisema hii ya walamba asali? tumewaachia wenye chama na watoto wao,tutaonana kwa debe.
 
Back
Top Bottom