Sir John Deere
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 14,246
- 27,509
Kwa anayejua Tafadhali katika mkeka alioutoa Bwana Trumpet ameorodhesha nchi zote lakini Russia haipo je kulikoni? Hebu mwenye ufahamu aje atueleze hapa.
HaipoIpo mkuu
😂😂😂 Inawezekana kaufyataAlishakueleza Russia ni super power ,unataka afanye nini tena
Marafiki kuliko Israel aliyepandishiwa kwa 17% ? Japo kwa Israel ni kama anatoa mkono wa (kushoto na kuingiza mkono wa kulipa)Labda ni marafiki wa siri siri.
Vita iliopo ni ya kiuchumi,sio silaha or usalama,China kamzidi US kiuchumi and raisi aliepita amemuwekea vikwazo vya kiuchumi Russia,mpk atakapofunguliwa kivikwazo labda atamuwekea.Kwa anayejua Tafadhali katika mkeka alioutoa Bwana Trumpet ameorodhesha nchi zote lakini Russia haipo je kulikoni? Hebu mwenye ufahamu aje atueleze hapa.View attachment 3297443
Tanzania tuna biashara gani Potential kuizidi Russia?Huenda hawana biashara potential
Hao ndo masuper power, wanagombana huku nje ila kufikia hitimisho la tukose wote mwaga ugali nimwage mboga sidhani kama ni rahisi kufikia hayo maamuzi. Lazima huwa wana mavikao yao ya siri.Marafiki kuliko Israel aliyepandishiwa kwa 17% ? Japo kwa Israel ni kama anatoa mkono wa (kushoto na kuingiza mkono wa kulipa)
Mbona sio nchi zoteKwa anayejua Tafadhali katika mkeka alioutoa Bwana Trumpet ameorodhesha nchi zote lakini Russia haipo je kulikoni? Hebu mwenye ufahamu aje atueleze hapa.View attachment 3297443
Mbona mpaka sasa Trump 3 vs China 0China atamtia mtu mimba mwaka huu.
Ndio na Russia hajawekewa kwanini? Hizo nyingine sizijuiMbona sio nchi zote
anaangalia nchi ambazo mchina amewekeza kwa wingiNdio na Russia hajawekewa kwanini? Hizo nyingine sizijui
Makelele tumezoea wenye akili nyingi tunajua china ni mkubwa sasa na anatukumhusha waafrika kwamba mzungu tangu enzi ni laghai.TUANGALIE KWA BUSARA NINI HIKI KAMA SIO WIVU WA KIKE.Mbona mpaka sasa Trump 3 vs China 0