Kwanini katika nchi zote Trump alizozipandishia ushuru Russia haipo?

Kwanini katika nchi zote Trump alizozipandishia ushuru Russia haipo?

Rusia ana fupa lake ana hangaika nalo kule Ukraine unafikiri mchezo,?.

US mpaka sasa ametumia dola bilion. 1 kuwapiga haouth ambao ameanza juzi tu hapa.

Fikiria sasa Rusia atakuwa katumia dola ngapi hadi sasa?

Miaka 5 ijayo Rusia atakuwa ana hali mbaya sana kiuchumi.

Ndio maana hahitajiki tena kuwekewa ushuru mkubwa. Ile vita aliyonayo ni ushuru tosha
 
Unachotak kusema ni kuwa usa anampenda sana russia mpaka ampe huruma yote hiyo
 
Russia hajawekwa sababu 🇺🇸 kamuwekea vikwazo Russia sababuya kuivamia Ukraine, japo katika records Russia amenunua toka 🇺🇸 vitu vyenye thamani zaidi ya $2.5b ila vinahusiana na silaha. Dunia ina siri kubwa
 
Putin is Trump and Trump is Putin biashara nyingi wanaimport from Russia until now kama fertilizer mbolea na nuclear fuel
 
If I could president of Tanzania ningeweka tarrif asilimia 200 kwa Chinese product imagine hata miti ya Christmas ilikuwa inatoka mbeya but now watu wananunua plastic from Chinese
 
Back
Top Bottom