Kwanini katika nchi zote Trump alizozipandishia ushuru Russia haipo?

Kwa anayejua Tafadhali katika mkeka alioutoa Bwana Trumpet ameorodhesha nchi zote lakini Russia haipo je kulikoni? Hebu mwenye ufahamu aje atueleze hapa.View attachment 3297443
Vita iliopo ni ya kiuchumi,sio silaha or usalama,China kamzidi US kiuchumi and raisi aliepita amemuwekea vikwazo vya kiuchumi Russia,mpk atakapofunguliwa kivikwazo labda atamuwekea.
 
Marafiki kuliko Israel aliyepandishiwa kwa 17% ? Japo kwa Israel ni kama anatoa mkono wa (kushoto na kuingiza mkono wa kulipa)
Hao ndo masuper power, wanagombana huku nje ila kufikia hitimisho la tukose wote mwaga ugali nimwage mboga sidhani kama ni rahisi kufikia hayo maamuzi. Lazima huwa wana mavikao yao ya siri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…