Unamuongezea ushuru mtu usiyefanyan naye biashara si ukichaa huoKwa anayejua Tafadhali katika mkeka alioutoa Bwana Trumpet ameorodhesha nchi zote lakini Russia haipo je kulikoni? Hebu mwenye ufahamu aje atueleze hapa.View attachment 3297443
Unachotak kusema ni kuwa usa anampenda sana russia mpaka ampe huruma yote hiyoRusia ana fupa lake ana hangaika nalo kule Ukraine unafikiri mchezo,?.
US mpaka sasa ametumia dola bilion. 1 kuwapiga haouth ambao ameanza juzi tu hapa.
Fikiria sasa Rusia atakuwa katumia dola ngapi hadi sasa?
Miaka 5 ijayo Rusia atakuwa ana hali mbaya sana kiuchumi.
Ndio maana hahitajiki tena kuwekewa ushuru mkubwa. Ile vita aliyonayo ni ushuru tosha
hahahahahaahhahahahRusia ana fupa lake ana hangaika nalo kule Ukraine unafikiri mchezo,?.
Kwa anayejua Tafadhali katika mkeka alioutoa Bwana Trumpet ameorodhesha nchi zote lakini Russia haipo je kulikoni? Hebu mwenye ufahamu aje atueleze hapa.View attachment 3297443
Kwani TZ ipo hapo?Kwa anayejua Tafadhali katika mkeka alioutoa Bwana Trumpet ameorodhesha nchi zote lakini Russia haipo je kulikoni? Hebu mwenye ufahamu aje atueleze hapa.View attachment 3297443
Darasa la ngapi na upo kitongoji gani vp tv na magazeti yako au hujui kusomaUSA na Russia hakuna biashara Wanafanya...
IpoKwani TZ ipo hapo?