Hawana wanachotuzidi kuna maeneo huko Kenya ukienda mpaka leo network hakuna mtandao haukamati inakulazimisha upande gari zaidi ya kilometres 20 ndio unaenda kupata mtandao Ila hilo TZ hakuna Jambo km hilo network kila unapoenda IPO, kwenye michezo the same hakuna wanachotuzidi labda uongozi tu TZ figisu nyingi riadha kuna wanariadha wazuri hapa Ila figisu figisu nyingi wanaishia kuozea kwenye mabanda ya kubet na vipaji vyao hadi wanakufa masikini
Ukija kwenye Muziki huko ndio kabisa wanamuziki wa TZ ndio masupastar wa kubwa wa Kenya, kwa hio hakuna wanachotuzidi labda kutoa rais wa Dunia ya kwanza kutoka Kabila la Wajaluo hapo ndio wanaweza sema aisee tumewapiga bao