Kwanini Kenya wamefuta Mitihani ya Taifa kwenye Mtaala mpya?

Mfumo wetu ni wa kizamani sana hili ndo watu wanapaswa kulipigia kelele
 
Tanzania elimu imefanywa kua biashara. Wanaomiliki shule hawawezi ndio hao wasimamizi wa elimu, hawawezi kutaka mtaala mpya ambao utaondoa mashindano ya ufaulu halafu wao wale nini?

Najua ni jambo la muda tu tutahamia huko maana Dunia inahamia huko.
Mashindano haya ni Biashara kubwa sana inaingiza Billion of Money na mbaya Wazazi hawajashituka na siku wanashituka itakuwa too late
 

Competence sio competitive… yaani mitihani walifuta kwani mtaala uliopo unazingatia umahiri wa wanafunzi na sio kukremu na kupata A.
 
Competence sio competitive… yaani mitihani walifuta kwani mtaala uliopo unazingatia umahiri wa wanafunzi na sio kukremu na kupata A.
Longolongo nyingi. Ili mtu awe competent lazima awe na knowledge. Knowledge is acquired through: 1. REFLECTION 2. IMITATION 3. EXPERIENCE
 
Elim inahitaji reshaffle kubwa sana hii tabia ya kumpima mtoto na mitihan ya taifa ifeee!!!!!

Ulaya USA hakuna hii kitu chek kipaji cha mtoto mpeleke huko huko
Ronald,mess,pogba,na wengine ni mabilionea lakn hawana hata masters degree
Aisee! Nani kakudanganya?
 
Embu ifanyie utafiti hoja yako mkuu...
 
Mitihani ikifutwa kuna watu watashindwa kuhalalisha uwepo wao.
 
Hizi taarifa za Kenya kufuta mitihani umezipata wapi?, Kama ni kweli hao Kenya wamefanya utafiti lini na wamepata wapi mifano Bora ya kurejea hapa duniani(references) kujiridhisha ktk hilo unalisema.

Mkuu wacha kuropoka, hapa duniani mfumo wa kuwataini wasomi wote ni mmoja tu unaofuatwa na nchi zote, hayo unayosema yamefanyika wapi hapa duniani?
 
Hilo darasa lao la nane wanataka kufuta!
 
Kenya ipi hiyo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…