bukoba boy
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 5,370
- 3,962
Mbona watz siwaoni kwenye nchi zenye SGR?Standard gauge railway imekuwapo TZ tangu miaka ya sabini -----TAZARA
Standard gauge - Wikipedia, the free encyclopedia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona watz siwaoni kwenye nchi zenye SGR?Standard gauge railway imekuwapo TZ tangu miaka ya sabini -----TAZARA
Is it ? Tazara siyo STD Gauge elimu elimu elimuStandard gauge railway imekuwapo TZ tangu miaka ya sabini -----TAZARA
Is it ? Tazara siyo STD Gauge elimu elimu elimu
Mimi ni mtanzania na sioni tatizoMpaka leo hii bado sijaelewa ni kwanini Wakenya hawana ubunifu kabisa kwenye mambo mengi sana, karibu kila kitu wanachukuwa kutoka kwetu.
Sasa hivi Kenya nako eti kuna Sungusungu! Hii ni typical Tanzanian thing. Wamekopi pia balozi wa nyumba kumi kutoka kwetu. Hapo mwanzo walikuwa na Chama cha Siasa kilichoitwa CCM kama CCM yetu.
Hata ukienda kanisani kwao nyimbo wanazotumia ni za kwetu, yaani nyingi zimetungwa Tanzania, kwenye Mikutano ya Siasa ndiyo kabisa utasikia wanaimba "Tunaimani na Raila - Oyaa oya, Raila kweli, kweli kabisa"...
Hivi majuzi nilikuwa Mitaa ya Kibera nikakuta kampeni ya kuhamasisha watu waondoke Kibera wanatumia kauli mbiu (slogan) ya ,,Kenya bila Kibera inawezekana" wameitoa kutoka kwetu na kauli mbiu ya "Tanzania bila ya UKIMWI inawezekana"!
Sasa ni kwanini Wakenya hawana ubunifu wa kuanzisha vitu vyao?
Kitu pekee ambacho Tanzania tumekopi kutoka Kenya ni neno Harambee tu lakini mengine yote ni ya kwetu..
Haya mtoa mada iga ufe hapo!!Nimeshangaa Sungusungu ya kutokea Kisii ambayo niliisikia tangu utotoni tuliiga kutoka kwa Watanzania. Japo mleta mada badala ya kutafuta nini kizuri cha kuiga kutoka Kenya, anakwenda Kibera kutafuta nyimbo tulizoiga kutoka Tanzania. Ndugu mna shughuli sana nyie.
Haya bwana mjaribu kuiga mambo kama haya hapa pia ambayo yapo kwetu.
![]()
![]()
![]()
![]()
Eti ni kweli kama ninavyosikia kuwa yule jamaa aliyebuni Mobile Money Transfer amechukuliwa na Wamarekani?...Unasahau Ulimwengu mzima umekopi kwetu sisi wakenya! MOBILE MONEY TRANSFER maarufu kama M-PESA technology?
Michael Joseph, saa hii ni advisor wa WORLD BANK.Eti ni kweli kama ninavyosikia kuwa yule jamaa aliyebuni Mobile Money Transfer amechukuliwa na Wamarekani?...