Kwanini Kenya wana copy & paste kila kitu kutoka kwetu Tanzania?

Kwanini Kenya wana copy & paste kila kitu kutoka kwetu Tanzania?

Eti sungusungu kikundi haramu cha uhalifu kinachopatikana kule Kisii huku Kenya waliiga kutoka tz?Mnachekesha watz,inamaanisha mna kikundi kama hicho cha uhalifu kwenu?Ama ni yale yenu yenye majina ya ajabu ajabu tu kama panya road na sijui waamerika weusi?Kama sie wote tunatumia kiswahili kuna maneno mengi tu yatafanana,hata tz kuna maneno utayaona udhani kuwa yalikuwa yanapatikana Kenya tu.Mada kama hizi za kipuuzi nimeona siku nyingi tu ndo zinawafurahisha watz.Sijui hampendi kufikiria kwa undani au shida iko wapi?Toka nje ya hapa Kenya forums utajionea maajabu,mada za kipuuzi zina mashabiki wengi watz na zile zinazoongelea maswala muhimu kuhusu tz hutaona hata mtz mmoja akizijadili.
Uwe unatumia ubongo
Kuwa na sungusungu haina maana yafanyikayo Kenya
Si lazima na Tanzania yafanyike
MNA KDF nijeshi linalo julikana Duniani kwa WIZI,Unywaji pombe ktk kazi, Halina umoja wala morali wa kijeshi.

Sasa Upumbavu huo wa KDF
Sio lazima uwepo na TPDF
 
Uwe unatumia ubongo
Kuwa na sungusungu haina maana yafanyikayo Kenya
Si lazima na Tanzania yafanyike
MNA KDF nijeshi linalo julikana Duniani kwa WIZI,Unywaji pombe ktk kazi, Halina umoja wala morali wa kijeshi.

Sasa Upumbavu huo wa KDF
Sio lazima uwepo na TPDF
Punguza mbege na bange,ina maana gani kujibu comment yangu na ulivojibu uko 'out of topic' kabisaa,si lazima tujibizane,si sifa.Toa maoni yako kuhusu hoja kivyako bila kutag 'comment' yangu.
 
Kitu ninachoipendea Kenya ni kuwa wanawasupport na kuwaendeleza innovators wadogo ila shida IPO kwetu maana kuna vijana wanafanya mambo makubwa lakini wanapoishia hapajulikani...

Labda kwa 50m na kasi ya magufuli wataonekana
 
Uwe unatumia ubongo
Kuwa na sungusungu haina maana yafanyikayo Kenya
Si lazima na Tanzania yafanyike
MNA KDF nijeshi linalo julikana Duniani kwa WIZI,Unywaji pombe ktk kazi, Halina umoja wala morali wa kijeshi.

Sasa Upumbavu huo wa KDF
Sio lazima uwepo na TPDF
Kwa taarifa yako KDF ndilo jeshi pekee iliyoweza kuingia sehemu hatari dunia baada ya AMERIKA yenyewe kushindwa.
Remember EAGLE 1 DOWN? Sio movie tu, ni matukio ya ukweli AMERIKA ilipoivamia SOMALIA.
 
Hivi ligi ya wakenya na watanzania nani huwa mshindi?
 
Mpaka leo hii bado sijaelewa ni kwanini Wakenya hawana ubunifu kabisa kwenye mambo mengi sana, karibu kila kitu wanachukuwa kutoka kwetu.

Sasa hivi Kenya nako eti kuna Sungusungu! Hii ni typical Tanzanian thing. Wamekopi pia balozi wa nyumba kumi kutoka kwetu. Hapo mwanzo walikuwa na Chama cha Siasa kilichoitwa CCM kama CCM yetu.

Hata ukienda kanisani kwao nyimbo wanazotumia ni za kwetu, yaani nyingi zimetungwa Tanzania, kwenye Mikutano ya Siasa ndiyo kabisa utasikia wanaimba "Tunaimani na Raila - Oyaa oya, Raila kweli, kweli kabisa"...

Hivi majuzi nilikuwa Mitaa ya Kibera nikakuta kampeni ya kuhamasisha watu waondoke Kibera wanatumia kauli mbiu (slogan) ya ,,Kenya bila Kibera inawezekana" wameitoa kutoka kwetu na kauli mbiu ya "Tanzania bila ya UKIMWI inawezekana"!

Sasa ni kwanini Wakenya hawana ubunifu wa kuanzisha vitu vyao?


Kitu pekee ambacho Tanzania tumekopi kutoka Kenya ni neno Harambee tu lakini mengine yote ni ya kwetu..
Sisi wote ni wamoja ila siasa ndiyo zimetutenganisha. hata sisi tulikuwa tunatumia maneno toka kwao 'harambee'
 
Back
Top Bottom