MOTOCHINI
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 28,064
- 31,401
Uwe unatumia ubongoEti sungusungu kikundi haramu cha uhalifu kinachopatikana kule Kisii huku Kenya waliiga kutoka tz?Mnachekesha watz,inamaanisha mna kikundi kama hicho cha uhalifu kwenu?Ama ni yale yenu yenye majina ya ajabu ajabu tu kama panya road na sijui waamerika weusi?Kama sie wote tunatumia kiswahili kuna maneno mengi tu yatafanana,hata tz kuna maneno utayaona udhani kuwa yalikuwa yanapatikana Kenya tu.Mada kama hizi za kipuuzi nimeona siku nyingi tu ndo zinawafurahisha watz.Sijui hampendi kufikiria kwa undani au shida iko wapi?Toka nje ya hapa Kenya forums utajionea maajabu,mada za kipuuzi zina mashabiki wengi watz na zile zinazoongelea maswala muhimu kuhusu tz hutaona hata mtz mmoja akizijadili.
Kuwa na sungusungu haina maana yafanyikayo Kenya
Si lazima na Tanzania yafanyike
MNA KDF nijeshi linalo julikana Duniani kwa WIZI,Unywaji pombe ktk kazi, Halina umoja wala morali wa kijeshi.
Sasa Upumbavu huo wa KDF
Sio lazima uwepo na TPDF