Kwanini Kenya wana copy & paste kila kitu kutoka kwetu Tanzania?

Ubaya uko wapi mkuu..wat z tumeiga zingapi kutoka kwa wenzetu..kwa kujifunza jambo kutoka kwa mwenzio kuna ubaya!?..
 
Seriously and u guys are contributing to such a filthy,wrong full of lies findings? Haya na sie tuige maendeleo yao bhas.tuwe na maflyovers kama yao! Elimu yetu iwe bora na kimataifa kama yao,tuige asilimia kubwa watanzania wawe wana uelewa mkubwa kama wao! Tuwe na wanariadha manaoitambulisha nchi yetu kama yao! Tuige watanzania wawe wengi nchi za nje kama wao na wawe na kazi za maana walipo kama wao! Tuwaige tuwe na viwanda imara va kulisha afrika masharik na kati kwa bidhaa bora kama wao! Tuwe na wanafunzi wa vyuo vikuu wenye upeo mpana kama wao hata kwenye mashindano yale ya airtel ya vio vikuu Afrika tuwe tunashinda kama wao!tuwaige tuwe na viombo vya tv na radio vya kisasa venye watangazaji wenye ueledi na upeo wa hali ya juu kama wao,wanao nunulika kwa vituo va kimataifa Bbc,cctv china/africa,voa/etc kama wao! Oka okay,tuwaige na sie moja ya part ya UN iwepo Tanzania parmanent kama ya kwao ilivo parmanent gigiri! Atleast tuwaige tuwe na Elimu bora kama yao inayo muandaa mwanafunzi kununulika sehemu yeyote duniani! Tuwaige tuwe wachapa kazi kama wao!etc etc etc
 
Nimeshangaa Sungusungu ya kutokea Kisii ambayo niliisikia tangu utotoni tuliiga kutoka kwa Watanzania. Japo mleta mada badala ya kutafuta nini kizuri cha kuiga kutoka Kenya, anakwenda Kibera kutafuta nyimbo tulizoiga kutoka Tanzania. Ndugu mna shughuli sana nyie.
Haya bwana mjaribu kuiga mambo kama haya hapa pia ambayo yapo kwetu.







 
Is it ? Tazara siyo STD Gauge elimu elimu elimu

umechelewa.....bila shaka umezaliwa miaka ya tisini. TAZARA is standard shida ni uongozi mbovu. ndiyo sababu mabehewa ya tazara na injini zake haziwezi kuingiliana na yale ya central ya miaka ya 1800
 
Eti sungusungu kikundi haramu cha uhalifu kinachopatikana kule Kisii huku Kenya waliiga kutoka tz?Mnachekesha watz,inamaanisha mna kikundi kama hicho cha uhalifu kwenu?Ama ni yale yenu yenye majina ya ajabu ajabu tu kama panya road na sijui waamerika weusi?Kama sie wote tunatumia kiswahili kuna maneno mengi tu yatafanana,hata tz kuna maneno utayaona udhani kuwa yalikuwa yanapatikana Kenya tu.Mada kama hizi za kipuuzi nimeona siku nyingi tu ndo zinawafurahisha watz.Sijui hampendi kufikiria kwa undani au shida iko wapi?Toka nje ya hapa Kenya forums utajionea maajabu,mada za kipuuzi zina mashabiki wengi watz na zile zinazoongelea maswala muhimu kuhusu tz hutaona hata mtz mmoja akizijadili.
 
Sasa maana ya mafanikio ni nini ?? Si unaangalia vile mwenzako anafanya unaongeza na yako ? Sio tatizo hapo
 
Mimi ni mtanzania na sioni tatizo
Weye mbona unaiga kuvaa suruali ya wazungu!!!
 
Haya mtoa mada iga ufe hapo!!
 
there is nothing like CCM in Kenya..and why are you so fixated on what we Kenyans do,kwani we ni FBI?
 
HAMNA JINSI, inabidi WAKOPI NA KUPASTE TU, ila wasi-CUT NA KUPASTE!
 
WAMEIGA HADI RANGI ZA JEZI ZA SIMBA NA YANGA kwenye timu zao!
Jamaa wamezidi!
 
Unasahau Ulimwengu mzima umekopi kwetu sisi wakenya! MOBILE MONEY TRANSFER maarufu kama M-PESA technology?
 
Unasahau Ulimwengu mzima umekopi kwetu sisi wakenya! MOBILE MONEY TRANSFER maarufu kama M-PESA technology?
Eti ni kweli kama ninavyosikia kuwa yule jamaa aliyebuni Mobile Money Transfer amechukuliwa na Wamarekani?...
 
Watanzania kwa sound na uswahili tuko vizuri! Kilicopy kiingereza maneno ya kigiriki na kilatini itakuja kuwa Kenya? Ili uendelee you need to copy some stuffs kwa hiyo sioni kama kuna shida wala mushkeli kwa mkenya kucopy material from other sources for the betterment of their fate.

Go kenya, go Tanzania..go east africa.
 
Sio vibaya na kwa kuiga kwao wametuacha mbali sana. Sisi tumebaki tynapiga domo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…