Kwanini 'Keyboard Warriors' wengi hasa wa hapa JamiiForums ukikutana nao hutoamini kuwa ndiyo Wao kwa jinsi walivyo?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kuna Wawili nimekutana nao ( ID's zao nazihifadhi ) hapa JamiiForums ni Machachari hakuna Mfano ila kumbe ni Watu Wapole, Wakarimu na Wastaarabu kiasi kwamba najua hata Siku mkitajiwa hizo ID's zao hapa Wote mtakataa na hamtoamini.

Kwahiyo usimchukulie kila 'Keyboard Warrior' hapa JamiiForums ndivyo alivyo Kiuhalisia wake kwani huenda ukija Kumjua Kiuhalisia hutoamini na utaishia Kucheka na hata Kustaajabu tu.
 
Mtaani hatuwezi kuwa hivi kwa sababu kuna Judgemental nyingi sana mtaani, pia hakuna uhuru huu wa kuleta mada mbalimbali... Ukiwa mtandaoni ni rahisi kukutana na watu watakaovutiwa na mada bila kukuhukumu kwa muonekano wako au sauti, kwa sababu mtandaoni kinachosomwa ni ujumbe tu....

Mtaani ni tofauti, lazima uwe humble kwa sababu, mtaani ni real world tani Dunia halisi, hivyo kabla watu hawajakujibu watakutazama muonekano, sauti na unavyowasilisha mada... Na ukijibu hovyo au kutukana mtapigana... Ndio maana mtu akiwa mtaani ukikutana naye lazima awe humble... Sio JF tu, hiyo ni mitandao yote
 
Nilikutana na Bujibuji Simba Nyamaume jamaa ni mcheshi sana na kwenye ucheshi wake kumejaa madini. Ngoja nimpigie kuomba appointment ya kukutana
 
GENTAMYCINE ni kama unajizungumzia wewe. Wanasema mtu mfupi mwenye kitambi mpole sana. Angalau mimi sifahamiki
Kwani na Mimi GENTAMYCINE ni Keyboard Warrior Mkuu? Tokea lini nikawa hivyo? Ila Wewe ndiyo najua ni 'Keyboard Warrior' na Hongera kwa hilo.
 
Kuna Wawili nimekutana nao ( ID's zao nazihifadhi ) hapa JamiiForums ni Machachari hakuna Mfano ila kumbe ni Watu Wapole, Wakarimu na Wastaarabu kiasi kwamba najua hata Siku mkitajiwa hizo ID's zao hapa Wote mtakataa na hamtoamini.

Kwahiyo usimchukulie kila 'Keyboard Warrior' hapa JamiiForums ndivyo alivyo Kiuhalisia wake kwani huenda ukija Kumjua Kiuhalisia hutoamini na utaishia Kucheka na hata Kustaajabu tu.
..wengine hutoamini! ni wahuni kweli. wazinzi kwelikweli wanaiba wake za watu! yaani wengine hovyo kbs wamo humu
 
Mkuu,Psychologically watu hupenda kujifanya kuwa vile ambavyo hawapo.Mfano Mtu Mkorofi in rela life anaweza jifanya mpole mstaarabu online.Mtu mjinga atajifanya mjanja,Mshamba atajifanya wa Mjanja.

Mfano halisi ni wewe mwenyewe.Si unajiona ulivo tofauti kwenye real life yako?
 
Mitandao inawapa watu ujasiri sana [emoji1]

Ova
Ila kuna Mtu Mmoja nahisi tabia yake ya hapa JamiiForums ndiyo hiyo hiyo kwa 100% ndivyo alivyo Kiuhalisia.

Si unamjua lakini Mkuu? Kwa sasa nimemsahau Jina lake / ID yake na kila niki Log In tu hapa ni lazima nitakutana nae.
 
Mkuu,Psychologically watu hupenda kujifanya kuwa vile ambavyo hawapo.Mfano Mtu Mkorofi in rela life anaweza jifanya mpole mstaarabu online.Mtu mjinga atajifanya mjanja,Mshamba atajifanya wa Mjanja.

Mfano halisi ni wewe mwenyewe.Si unajiona ulivo tofauti kwenye real life yako?
Mkuu mbona Uwasilishaji wako juu yangu inaonyesha kuwa ni kama vile Ulikuwa / Una Bifu ( Usununu ) na Mimi?

Vipi 'nimekubandulia' Mkeo na umejua?
 
Mtaani hatuwezi kuwa hivi kwa sababu kuna Judgemental nyingi sana mtaani, pia hakuna uhuru huu wa kuleta mada mbalimbali... Ukiwa mtandaoni ni rahisi kukutana na watu watakaovutiwa na mada bila kukuhukumu kwa muonekano wako au sauti, kwa sababu mtandaoni kinachosomwa ni ujumbe tu....

Mtaani ni tofauti, lazima uwe humble kwa sababu, mtaani ni real world tani Dunia halisi, hivyo kabla watu hawajakujibu watakutazama muonekano, sauti na unavyowasilisha mada... Na ukijibu hovyo au kutukana mtapigana... Ndio maana mtu akiwa mtaani ukikutana naye lazima awe humble... Sio JF tu, hiyo ni mitandao yote
Mkuu nakuunga mkono kabisa..
Nikiwa Doha hapa
 
Back
Top Bottom