ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 14,949
- 54,485
kIsa ulichanuliwa ndo unadhani kila mtu anapenda hiyo michezo! NipisheMkuu hutaki Kuchanua? Acha hizo Chanua tu ili Kitana kipite vizuri na uwe Nadhifu sawa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kIsa ulichanuliwa ndo unadhani kila mtu anapenda hiyo michezo! NipisheMkuu hutaki Kuchanua? Acha hizo Chanua tu ili Kitana kipite vizuri na uwe Nadhifu sawa?
Wewe mtende waambie hao waliokutuma kuwa hukuwakuta mnaowatafuta!! You SOB.Umelazimishwa na Mtu au Mleta Mada ( Uzi ) Kuufungua na Kuusoma? Halafu Wewe ni nani hadi upangie / utupangie Members hapa JamiiForums namna ya Kuandika na Kuwasilisha Mijadala Mitambuka?
Iwe mwanzo na mwisho sawa? Hopeless...!!
Oya 'Chanua' basi muda unaenda huu.kIsa ulichanuliwa ndo unadhani kila mtu anapenda hiyo michezo! Nipishe
Umenikera Mkuu ungemtongoza ili Ukambandue. Ukitaka kuwa Rafiki yangu uwe Mbanduaji wa Kutukuka sawa?Katika vitu sifikiriagi ni kujuana na memba wa humu kwa kukutana yaani hata nione unatumia jf siwezi kukuuliza wala kushoboka na ww. Nilishasafiri na dada mmoja njiani alikua busy na simu nikamtani vp unachatishwa nn akanijibu nipo jf kama vile kila mtu anaujua huu mtandao na mm nikajidai siujui nikamuuliza ndio wapi huko akacheka na kujibu kama hujawah tumia huwezi elewa na mm nikacheka basi nikapiga kimya
mbona umehamaki sana nilipoandika wengene tuna uwezo wa ku sense ni nani katika nchi hii na anafanya kazi gani hata kama anatumia id feki anajulikana ni nani? Hapa kila member ajiheshimu na kuheshimu wengine asiandike upupu akidhani hajulikani kwa kuwa anatumia id fakeMtakuja kuwaumiza watu bure kwa kujidai mnazifahamu IDs zao za humu Janvini!! kuna watu wenye visasi wanajadiliwa humu sasa nyie mkijidai mnafahamu ID za watu mnaweza kusababisha watu waumie kumbe sio wahusika. Acheni mchezo wenu wa kutaka kujua IDS za members; shuhurikeni na kujadili hoja msijue nani anatoa hoja gani kwani waswahili huangalia nani kasema na sio nini kimesemwa. Nina imani kabisa kuwa kutojulikana kwa members ni nguzo kubwa ya jamvi hili.
Sawa kabisa!Ukimuona na Ukimjua GENTAMYCINE jua una Bahati Kubwa sana na unatakiwa Uringe na Ufurahi kweli kweli sawa Mkuu?
😂😂Mkuu wangu Mimi nipo hivi hivi nionekanavyo, napendwq SanaMkuu huwezi amini hawa Members Wawili na ID's zao ninazojijua ukikutana nao Live na Kukaa nao hata kwa dakika 30 unaweza kusema kuwa huenda kuna Watu huwa wanawaibia ID's zao na kuwa Watukutu na Wakorofi wakiwa nasi hapa JamiiForums.
Hawa Jamaa ni Wastaarabu Wapole na wana Upendo wa Kutukuka halafu hawana Uchoyo, Chuki na Roho Mbaya kama ambavyo Wengi wetu tunawahisi au kuwaona hapa.
Kuanzia sasa nitawapenda na sitokuwa nawacharura tena ( japo Wao ) kwa bahati mbaya hawakujua kuwa waliyekuwa nae ndiyo Mimi GENTAMYCINE ambaye huwa sipitishi hata Siku lazima tu nitaingia nao katika Battle ya Israel na Palestine.
Je, na Wewe Keyboard Warrior wa hapa JamiiForums huu Uwasilishaji wako, Majibu yako na Nyodo zako ndiyo Uhalisia wako au huwa unaamua tu Kujizima Data ( Kujichetua ) uwapo hapa?
Mtu anayejua kuwa kitu kilichoandikwa ni upupu ni yule mlengwa asiyekubaliana na maono dhidi yake!! Huo unoasema ni upupu sio kwa kila msomaji!!mbona umehamaki sana nilipoandika wengene tuna uwezo wa ku sense ni nani katika nchi hii na anafanya kazi gani hata kama anatumia id feki anajulikana ni nani? Hapa kila member ajiheshimu na kuheshimu wengine asiandike upupu akidhani hajulikani kwa kuwa anatumia id fake
Battle gani zaidi ya mipasho ya kijinga ? ungekuwa Buza tungekukata masikio yote hayo..Inapaswa kujiamini, mimi najijua kama mzee wa battles kote, iwe humu, ofisini, mtaani... Kiherehere popote...
Battle gani zaidi ya mipasho ya kijinga ? ungekuwa Buza tungekukata masikio yote hayo..
kumbuka hoja hujibiwa kwa hoja, ukishindwa tulia au kubaliana na kilichoandikwaMtu anayejua kuwa kitu kilichoandikwa ni upupu ni yule mlengwa asiyekubaliana na maono dhidi yake!! Huo unoasema ni upupu sio kwa kila msomaji!!
Ile siku ya kupewa zawadi zenu za mchongo, nilitamani kweli uongozi wa jamii forums kurusha picha zenu live! Kwa bahati mbaya walishtukia mchezo.Kuna Wawili nimekutana nao ( ID's zao nazihifadhi ) hapa JamiiForums ni Machachari hakuna Mfano ila kumbe ni Watu Wapole, Wakarimu na Wastaarabu kiasi kwamba najua hata Siku mkitajiwa hizo ID's zao hapa Wote mtakataa na hamtoamini.
Kwahiyo usimchukulie kila 'Keyboard Warrior' hapa JamiiForums ndivyo alivyo Kiuhalisia wake kwani huenda ukija Kumjua Kiuhalisia hutoamini na utaishia Kucheka na hata Kustaajabu tu.
Huna lolote fala wewe ,unajaribu kujisuuza hapa umeona yamekushinda ya Salum kikeke.Kuna watu hapa wenye hishma zao na unyenyekevu wao kina Da Vinci ,Mshana Jr na wengi wao.Salim kikeke anakutafuta.Kwani na Mimi GENTAMYCINE ni Keyboard Warrior Mkuu? Tokea lini nikawa hivyo? Ila Wewe ndiyo najua ni 'Keyboard Warrior' na Hongera kwa hilo.
😅😅 ambaye ni nani???mkuuIle siku ya kupewa zawadi zenu za mchongo, nilitamani kweli uongozi wa jamii forums kurusha picha zenu live! Kwa bahati mbaya walishtukia mchezo.
Maana mimi nilijipanga kumtafuta mtu mmoja tu mwenye kofia kubwa ya pama iliyoziba masikio, na pia aliyevaa gloves kwenye viganja vyake vya mkono. 😇
Ukiona kuna mtu amepaniki tu, basi ujue ndiyo huyo huyo! 😃😅😅 ambaye ni nani???mkuu
Wengi wameingia kusaka tonge tu ajira hamnaKuna Wawili nimekutana nao ( ID's zao nazihifadhi ) hapa JamiiForums ni Machachari hakuna Mfano ila kumbe ni Watu Wapole, Wakarimu na Wastaarabu kiasi kwamba najua hata Siku mkitajiwa hizo ID's zao hapa Wote mtakataa na hamtoamini.
Kwahiyo usimchukulie kila 'Keyboard Warrior' hapa JamiiForums ndivyo alivyo Kiuhalisia wake kwani huenda ukija Kumjua Kiuhalisia hutoamini na utaishia Kucheka na hata Kustaajabu tu.
sawa sawaUkiona kuna mtu amepaniki tu, basi ujue ndiyo huyo huyo! 😃