GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Nilikutana na Bujibuji Simba Nyamaume jamaa ni mcheshi sana na kwenye ucheshi wake kumejaa madini. Ngoja nimpigie kuomba appointment ya kukutanaKuna Wawili nimekutana nao ( ID's zao nazihifadhi ) hapa JamiiForums ni Machachari hakuna Mfano ila kumbe ni Watu Wapole, Wakarimu na Wastaarabu kiasi kwamba najua hata Siku mkitajiwa hizo ID's zao hapa Wote mtakataa na hamtoamini.
Kwahiyo usimchukulie kila 'Keyboard Warrior' hapa JamiiForums ndivyo alivyo Kiuhalisia wake kwani huenda ukija Kumjua Kiuhalisia hutoamini na utaishia Kucheka na hata Kustaajabu tu.
Kwani na Mimi GENTAMYCINE ni Keyboard Warrior Mkuu? Tokea lini nikawa hivyo? Ila Wewe ndiyo najua ni 'Keyboard Warrior' na Hongera kwa hilo.GENTAMYCINE ni kama unajizungumzia wewe. Wanasema mtu mfupi mwenye kitambi mpole sana. Angalau mimi sifahamiki
..wengine hutoamini! ni wahuni kweli. wazinzi kwelikweli wanaiba wake za watu! yaani wengine hovyo kbs wamo humuKuna Wawili nimekutana nao ( ID's zao nazihifadhi ) hapa JamiiForums ni Machachari hakuna Mfano ila kumbe ni Watu Wapole, Wakarimu na Wastaarabu kiasi kwamba najua hata Siku mkitajiwa hizo ID's zao hapa Wote mtakataa na hamtoamini.
Kwahiyo usimchukulie kila 'Keyboard Warrior' hapa JamiiForums ndivyo alivyo Kiuhalisia wake kwani huenda ukija Kumjua Kiuhalisia hutoamini na utaishia Kucheka na hata Kustaajabu tu.
Nimecheka mpaka basi...wengine hutoamini! ni wahuni kweli. wazinzi kwelikweli wanaiba wake za watu! yaani wengine hovyo kbs wamo humu
Mhhh tangu lini. Wewe si hata timu unayoshabikia inafanya vizuri kwenye keyboardKwani na Mimi GENTAMYCINE ni Keyboard Warrior Mkuu? Tokea lini nikawa hivyo? Ila Wewe ndiyo najua ni 'Keyboard Warrior' na Hongera kwa hilo.
Ila kuna Mtu Mmoja nahisi tabia yake ya hapa JamiiForums ndiyo hiyo hiyo kwa 100% ndivyo alivyo Kiuhalisia.Mitandao inawapa watu ujasiri sana [emoji1]
Ova
Mkuu mbona Uwasilishaji wako juu yangu inaonyesha kuwa ni kama vile Ulikuwa / Una Bifu ( Usununu ) na Mimi?Mkuu,Psychologically watu hupenda kujifanya kuwa vile ambavyo hawapo.Mfano Mtu Mkorofi in rela life anaweza jifanya mpole mstaarabu online.Mtu mjinga atajifanya mjanja,Mshamba atajifanya wa Mjanja.
Mfano halisi ni wewe mwenyewe.Si unajiona ulivo tofauti kwenye real life yako?
Itakuwa hivyo hivyo.Mkuu mbona Uwasilishaji wako juu yangu inaonyesha kuwa ni kama vile Ulikuwa / Una Bifu ( Usununu ) na Mimi?
Vipi 'nimekubandulia' Mkeo na umejua?
Mkuu nakuunga mkono kabisa..Mtaani hatuwezi kuwa hivi kwa sababu kuna Judgemental nyingi sana mtaani, pia hakuna uhuru huu wa kuleta mada mbalimbali... Ukiwa mtandaoni ni rahisi kukutana na watu watakaovutiwa na mada bila kukuhukumu kwa muonekano wako au sauti, kwa sababu mtandaoni kinachosomwa ni ujumbe tu....
Mtaani ni tofauti, lazima uwe humble kwa sababu, mtaani ni real world tani Dunia halisi, hivyo kabla watu hawajakujibu watakutazama muonekano, sauti na unavyowasilisha mada... Na ukijibu hovyo au kutukana mtapigana... Ndio maana mtu akiwa mtaani ukikutana naye lazima awe humble... Sio JF tu, hiyo ni mitandao yote