Saving account
Member
- Jun 28, 2016
- 21
- 22
hana mvuto wa kibiashara.WanaJF nimekuwa nikijiuliza hili swali kwa muda mrefu sana....hivi ni kwa nini Ali Kiba hatumiki kwenye matangazo ya makampuni na biashara kama ma-superstar wengine hapa TZ.....Naomba maoni yenu wanaJF..
Hili ndo jibu zingne mbwembwe tuhana mvuto wa kibiashara.
Mvuto kibiashara kivipi wakati makampuni yaangalia fanbase ya msanii?hana mvuto wa kibiashara.
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Andika kiswahili kaka...
hana mvuto wa kibiashara.
I agree with you!Anajisikia sana jamaa, dharau nyingi... Kujifanya wa kimataifa sana... That is my opinion...
BALOZI WA WANYAMA???balozi wa wanyama Afrika nzima,unaanzaje kusema hana matangazo