Kwanini Kiba hatumiki kwenye matangazo?

Kwanini Kiba hatumiki kwenye matangazo?

Joined
Jun 28, 2016
Posts
21
Reaction score
22
WanaJF,

Nimekuwa nikijiuliza hili swali kwa muda mrefu sana, hivi ni kwanini Ali Kiba hatumiki kwenye matangazo ya makampuni na biashara kama ma-superstar wengine hapa TZ.

Naomba maoni yenu wanaJF.
 
Ili utumike kwenye Tangazo la biashara kuna vigezo vingi vya kuzingatia huenda hajakidhi.
 
Comment zimejaa chuki shenz et hauzi,hana mvuto Hahahaaaa jamaa ana mvuto by nature siyo be mkubwa asipopaka mamake up ukimuangalia kwa dk kumi unaeza ukaota hahahaaa kama kwenye video ya salima hawajapaka make up ndo utajua jamaa ana sura mbaya..sema vigezo vingine siyo mvuto mzee hahaha
 
atakuwa very expensive,kunawale wanaume wazuri wanawekwaga kwenye matangazo barabarani naskia wanalipwa laki nne alafu tangazo hata miezi kadhaa inapita lipo tu!!
 
Back
Top Bottom