Tunapozungumzia matangazo yakibiashara ni kama vile ya kampuni kubwa COCA COLA , DSTV , PEPSI na mengine mengi sio unatuwekea ubalozi wa wanyama ndo matangazo gani hayo hata hatuyafahamu..balozi wa wanyama Afrika nzima,unaanzaje kusema hana matangazo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] u hv made my nyt!Tunapozungumzia matangazo yakibiashara ni kama vile ya kampuni kubwa COCA COLA , DSTV , PEPSI na mengine mengi sio unatuwekea ubalozi wa wanyama ndo matangazo gani hayo hata hatuyafahamu..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimesikia kilio chake ngoja tutamfikiria kwenye lile tangazo la lady.pe.peta
Lupita jebalozi wa wanyama Afrika nzima,unaanzaje kusema hana matangazo
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Nimesikia kilio chake ngoja tutamfikiria kwenye lile tangazo la lady.pe.peta
kwhyo yale matangazo ya tv anayopga vita mauaji ya tembo siyo matangazo ? kweli wewe chiziTunapozungumzia matangazo yakibiashara ni kama vile ya kampuni kubwa COCA COLA , DSTV , PEPSI na mengine mengi sio unatuwekea ubalozi wa wanyama ndo matangazo gani hayo hata hatuyafahamu..
Pamoja na Lamborghin kutokuwekwa kwenye TV but usisahau it is one of the expensive. Na pia haiihitaji matangazo coz its one of the best.kuna sehemu niliona maandishi "Lamborghin haina promo coz wanunuzi wake huwa hawana muda wa kuangalia tv"
Back to kibakuli.
Yeye hawekwi kwenye matangazo sababu wanaomkubali huwa hawakai kuangalia tv.
Umejuaj kuwa hafikir, labda hatak?sio business opportunistic......yeye anahisi muziki tu ndo kila kitu kwake,hafikiriii kuwa beyond that.....
ndo maana nikasema sio business opportunistic,Umejuaj kuwa hafikir, labda hatak?
swala hapa sio kukuza thamani na ubora wako,swala hapa ni jinsi gani unatumia ubora wako beyond kwenye jukwaa.......muziki anaoufanya sio for life,kunakipindi atafika atagota tuu lakini ni jinsi gani anatumia huu wakati alionao mzuri kujiandaa kwa hayo maisha ya baadae baada ya muziki??unaingiza vipi kipato zaidi kwa kutumia fan base uliyokuwa nayo kwa sasa??Pamoja na Lamborghin kutokuwekwa kwenye TV but usisahau it is one of the expensive. Na pia haiihitaji matangazo coz its one of the best.
Kwa hiyo Kiba hahitaji TV kukuza thamani na ubora wake. We know he is great and best.
Wewe hauyafahamu ila wakubwa zako wanayafahamu na ndio wanaosaidia na kusapoti opereshini okoa Tembo.Tunapozungumzia matangazo yakibiashara ni kama vile ya kampuni kubwa COCA COLA , DSTV , PEPSI na mengine mengi sio unatuwekea ubalozi wa wanyama ndo matangazo gani hayo hata hatuyafahamu..
Pamoja na Lamborghin kutokuwekwa kwenye TV but usisahau it is one of the expensive. Na pia haiihitaji matangazo coz its one of the best.
Kwa hiyo Kiba hahitaji TV kukuza thamani na ubora wake. We know he is great and best.
ben pol kashachukua dili ilo ujastuka badobalozi wa wanyama Afrika nzima,unaanzaje kusema hana matangazo