Yomakon
JF-Expert Member
- Oct 12, 2016
- 638
- 679
Tunapozungumzia matangazo yakibiashara ni kama vile ya kampuni kubwa COCA COLA , DSTV , PEPSI na mengine mengi sio unatuwekea ubalozi wa wanyama ndo matangazo gani hayo hata hatuyafahamu..balozi wa wanyama Afrika nzima,unaanzaje kusema hana matangazo