Wakat gharama za show zake zinazidiwa na za domo mfano show ya odm Kenya domo alikula 5m ksh kibakuli 3m kshAlikiba ni ghari sana [emoji57][emoji57]
Kiba mshamba unakumbuka jinsi alivyovaa kwenye fiesta..kaptula km komando yoso..WanaJF nimekuwa nikijiuliza hili swali kwa muda mrefu sana....hivi ni kwa nini Ali Kiba hatumiki kwenye matangazo ya makampuni na biashara kama ma-superstar wengine hapa TZ.....Naomba maoni yenu wanaJF..
Mvuto kibiashara kivipi wakati makampuni yaangalia fanbase ya msanii?
KIBA ni Mzuri kwenye Uimbaji lakini kwenye Video zake amezubaa zubaa sana kiasi zinakosa mivuto....Matangazo ni Biashara hivyo Makampuni hayawez kumtumia MTU ambae Hachangamki kwa video.....Apa Diamond na Joti wataendelea kuumiza sana...By The Way Sianatangaza kwenye Ujangili wa TEMBo?
Kama haitaji tv kukuza fans base yake kwann anaenda fanya shooting out of Tanzania ?Pamoja na Lamborghin kutokuwekwa kwenye TV but usisahau it is one of the expensive. Na pia haiihitaji matangazo coz its one of the best.
Kwa hiyo Kiba hahitaji TV kukuza thamani na ubora wake. We know he is great and best.
Jibu lingine ni kuwa hajajitambua, akijitambua atajiongezaHili ndo jibu zingne mbwembwe tu
Ww watumikaYan kuna mada zingine mnaleta hazina akili.. We mbona hutumiki kwenye matangazo?