Kwanini Kiba hatumiki kwenye matangazo?

Kwanini Kiba hatumiki kwenye matangazo?

Hiko ndio kipimo kingine cha UMUHIMU WAKO kwenye jamii,yaani jamii inakuchukuliaje/inakuonaje kwa mtazamo wa uwezo wako wa ushawishi. Kiba HANA MVUTO WA KIUSHAWISHI KWA JAMII,ILA ANA WATU WALIO NA MSONGO WA MAWAZO. Hata page zake hazifutii kuzitembelea,hua hana mambo mapya yeye yupo kizamani zamani tu,kama babu anayesubiria siku yake ya kufa. Kitu ambacho wafanyabiashara wanaona watapoteza pesa yao bure.
 
kiba hana mvuto wa biashara!
hana vigezo vya kuwa brand
majivuno
watu wanataka tangazo lao litangazwe yeye sio mtu wa show off atatangazaje?
kwaufupi kiba hajakidhi vigezo na masharti ya matangazo!!!
 
KIBA ni Mzuri kwenye Uimbaji lakini kwenye Video zake amezubaa zubaa sana kiasi zinakosa mivuto....Matangazo ni Biashara hivyo Makampuni hayawez kumtumia MTU ambae Hachangamki kwa video.....Apa Diamond na Joti wataendelea kuumiza sana...By The Way Sianatangaza kwenye Ujangili wa TEMBo?
 
All
WanaJF nimekuwa nikijiuliza hili swali kwa muda mrefu sana....hivi ni kwa nini Ali Kiba hatumiki kwenye matangazo ya makampuni na biashara kama ma-superstar wengine hapa TZ.....Naomba maoni yenu wanaJF..
Kiba mshamba unakumbuka jinsi alivyovaa kwenye fiesta..kaptula km komando yoso..
 
Ana nyodo sana..ushawah angalia interview zake..?
 
KIBA ni Mzuri kwenye Uimbaji lakini kwenye Video zake amezubaa zubaa sana kiasi zinakosa mivuto....Matangazo ni Biashara hivyo Makampuni hayawez kumtumia MTU ambae Hachangamki kwa video.....Apa Diamond na Joti wataendelea kuumiza sana...By The Way Sianatangaza kwenye Ujangili wa TEMBo?

Tangazo la kumpapasa tembo ni tangazo la kibiashara?
 
Pamoja na Lamborghin kutokuwekwa kwenye TV but usisahau it is one of the expensive. Na pia haiihitaji matangazo coz its one of the best.
Kwa hiyo Kiba hahitaji TV kukuza thamani na ubora wake. We know he is great and best.
Kama haitaji tv kukuza fans base yake kwann anaenda fanya shooting out of Tanzania ?

Masuala ya matangazo sio kwamba anakuwa anjitangaza yeye ila anakuwa anatangaza bidhaa husika ili iweze uzika kutokana na ushawishi wake ..mbona kina messi na ronaldo wana pesa ndefu na fans base kubwa na bado wanamikataba binafsi na makampuni kama nike na adidas au unataka kusema wanatafuta mashabiki?

Fanya reseach kabla ya kuongea kitu matangazo yanakuwa kwaajili ya kutangaza bidhaa na sio kumtangaza mtu husika..
 
Mashabik wake wanatukana sana nan atakaedhamin matuc kwa mashabik wanaomzunguka
 
MKATABA M100 ya kwako laki saba, 99.3m wanachukua wazee wa fursa (watu wa kati) hii pia husababisha wasanii wanaojielewa kukacha matangazo hayo munayoyalilia
 
Back
Top Bottom