hermanthegreat
JF-Expert Member
- Mar 2, 2021
- 1,274
- 3,282
Mkuu andiko dogo kama hilo sipaswi pongezi yoyoteNi kweli mkuu,hujakosea...kwahiyo kukupa pongezi la andiko lako hili tukupee saa ngapi?
Kifo hakina huruma.Yaani mtu akifanya vema tunampongeza kwa kumuua,
Imagine ukifa unapumzika kwa amani.
Mihangaiko ya duniani unaiacha, unasahau shida zote za kila siku hutafuti hela , husikii njaa, huna mawazo, kiufupi ni peace tu.
Naona kifo ndio ingekuwa zawadi nzuri na ya thamani ya kumpatia mtu aliyefanya vizuri.
Au mnaonaje wadau.
Hongera mkuu.Yaani mtu akifanya vema tunampongeza kwa kumuua,
Imagine ukifa unapumzika kwa amani.
Mihangaiko ya duniani unaiacha, unasahau shida zote za kila siku hutafuti hela , husikii njaa, huna mawazo, kiufupi ni peace tu.
Naona kifo ndio ingekuwa zawadi nzuri na ya thamani ya kumpatia mtu aliyefanya vizuri.
Au mnaonaje wadau.
There's no such thing as hell it's just resting in peaceKifo hakina huruma.
Heaven or Hell
Mkuu Mimi sijafanya Jambo lolote la maana hata nipongezweHongera mkuu.
Njoo tukuzawadie basi🤣
Kuzimu ipo. Kuna sauti zilirekodiwa na wanasayansi kwenye utafiti mmoja hivi walivyodumbukiza kifaa fulani kule baharini, kulikuwa na mpasuko Fulani hivi, ambao ndani yake kulikuwa na magma, ikasikika sauti za vilio vya wanadamu.There's no such thing as hell it's just resting in peace
Mkuu Mimi sijafanya Jambo lolote la maana hata nipongezwe
Sisi wananzengo tumeona hoja yako ina mantiki kubwa.....Mkuu Mimi sijafanya Jambo lolote la maana hata nipongezwe
Haya maswala ya Imani hatupaswi kubishana sana, ila nadhani hiyo tafiti ingerudiwa , na kukawa na mashahidi zaidi ili tupate ukweli.Kuzimu ipo. Kuna sauti zilirekodiwa na wanasayansi kwenye utafiti mmoja hivi walivyodumbukiza kifaa fulani kule baharini, kulikuwa na mpasuko Fulani hivi, ambao ndani yake kulikuwa na magma, ikasikika sauti za vilio vya wanadamu.
Kuzimu ipo. Kuna sauti zilirekodiwa na wanasayansi kwenye utafiti mmoja hivi walivyodumbukiza kifaa fulani kule baharini, kulikuwa na mpasuko Fulani hivi, ambao ndani yake kulikuwa na magma, ikasikika sauti za vilio vya wanadamu.
Imefanyika zamani, na haikurudiwa nahisi hawakuona umuhimu wake. Labda wajitokeze wengine waangalie statement of the problem.Haya maswala ya Imani hatupaswi kubishana sana, ila nadhani hiyo tafiti ingerudiwa , na kukawa na mashahidi zaidi ili tupate ukweli.