pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
what do you mean by chama dume?Nimekuwa napitia mada nyingi sana humu JF na kila mada ni CDM tu tangu ujio wa Lissu na Lema!
hakuna cha ccm wala CUF hii inaonyesha kuwa CDM ni chama kikubwa sana sana nchi hii.
Hongera sana CDM Songeni mbele sana!
Unge specify hapo....🤓🤓🤓Chadema ni wajinga, na mjinga husemwa ili aache ujinga
Nimekuwa napitia mada nyingi sana humu JF na kila mada ni CHADEMA tu tangu ujio wa Lissu na Lema...
Poleni sana Sukuma gangChadema ni wajinga, na mjinga husemwa ili aache ujinga
Ainisha huo upumbav wao ili tuendelee kuwapiga spana!!Ukiona kitu kinasifiwa sana na watanzania ujue kina upumbavu
Chadema ni dude kubwaaaaa ambalo kuliparamia inahitaji ujasiri mkubwa, lkn Chadema ni ajira kwa wenzetu wa Lumumba.Nimekuwa napitia mada nyingi sana humu JF na kila mada ni CHADEMA tu tangu ujio wa Lissu na Lema!
Hakuna cha CCM wala CUF, hii inaonyesha kuwa CHADEMA ni chama kikubwa sana sana nchi hii.
Hongera sana CHADEMA, songeni mbele sana!
Chadema ni wajinga, na mjinga husemwa ili aache ujinga
Nmesema kitu nikimaanisha mambo yapo mengiAinisha huo upumbav wao ili tuendelee kuwapiga spana!!
Sio shubiri 🤔Asali
Hata ndege wanaikubali Chadema 😂
Kwani ukiainisha kwa uchache si itasaidia wana jamvi wajue? Wee ainisha tu mkuu!!Nmesema kitu nikimaanisha mambo yapo mengi
Niliandika hii kituNimekuwa napitia mada nyingi sana humu JF na kila mada ni CHADEMA tu tangu ujio wa Lissu na Lema!
Hakuna cha CCM wala CUF, hii inaonyesha kuwa CHADEMA ni chama kikubwa sana sana nchi hii.
Hongera sana CHADEMA, songeni mbele sana!
Nimekuwa napitia mada nyingi sana humu JF na kila mada ni CHADEMA tu tangu ujio wa Lissu na Lema!
Hakuna cha CCM wala CUF, hii inaonyesha kuwa CHADEMA ni chama kikubwa sana sana nchi hii.
Hongera sana CHADEMA, songeni mbele sana!
NDIO WALIVYO WATANZANIA NI WATU WA MATUKIO MTU AKIJINYEA MAADA ITAKUWA NI HIYO HIYONimekuwa napitia mada nyingi sana humu JF na kila mada ni CHADEMA tu tangu ujio wa Lissu na Lema!
Hakuna cha CCM wala CUF, hii inaonyesha kuwa CHADEMA ni chama kikubwa sana sana nchi hii.
Hongera sana CHADEMA, songeni mbele sana!