Kwanini kila mada humu ndani ni CHADEMA tu?

Kwanini kila mada humu ndani ni CHADEMA tu?

Nimekuwa napitia mada nyingi sana humu JF na kila mada ni CHADEMA tu tangu ujio wa Lissu na Lema, hakuna cha ccm wala CUF hii inaonyesha kuwa CHADEMA ni chama kikubwa sana sana nchi hii.

Hongera sana CHADEMA Songeni mbele sana!
 
Nimekuwa napitia mada nyingi sana humu JF na kila mada ni CDM tu tangu ujio wa Lissu na Lema!
hakuna cha ccm wala CUF hii inaonyesha kuwa CDM ni chama kikubwa sana sana nchi hii.
Hongera sana CDM Songeni mbele sana!
what do you mean by chama dume?
 
Ukiona kitu kinasifiwa sana na watanzania ujue kina upumbavu
 
Nimekuwa napitia mada nyingi sana humu JF na kila mada ni CHADEMA tu tangu ujio wa Lissu na Lema...
JamiiForums442997317_236x211.jpg
 
Nimekuwa napitia mada nyingi sana humu JF na kila mada ni CHADEMA tu tangu ujio wa Lissu na Lema!

Hakuna cha CCM wala CUF, hii inaonyesha kuwa CHADEMA ni chama kikubwa sana sana nchi hii.

Hongera sana CHADEMA, songeni mbele sana!
Chadema ni dude kubwaaaaa ambalo kuliparamia inahitaji ujasiri mkubwa, lkn Chadema ni ajira kwa wenzetu wa Lumumba.

Nyuzi nyingi humu zinaandikwa na vijana wa Lumumba kwa malipo ya sh 7000 kwa kila nyuzi moja inayohusiana na Chadema, lkn iwe inaiponda Chadema na viongozi wote kwa ujumla, na Chadema haiwezi kufa kwa sababu ni ajira tosha kwa vijana wa Lumumba.

Lakini pia kupitia Chadema vijana wa Lumumba wamepata teuzi serikalini kwa kuiponda ama kuponda viongozi wa Chadema.

Hivyo basi, Chadema ni lango la kujipatia mkate wa kila cku kwa wenzetu wa Lumumba.

People's.... Lumumba itikieni basi huko huko mliko kwa kusema Power. Ole wenu msiitikie.

FB_IMG_16756956269857750.jpg
 
Nimekuwa napitia mada nyingi sana humu JF na kila mada ni CHADEMA tu tangu ujio wa Lissu na Lema!

Hakuna cha CCM wala CUF, hii inaonyesha kuwa CHADEMA ni chama kikubwa sana sana nchi hii.

Hongera sana CHADEMA, songeni mbele sana!
Niliandika hii kitu

CCM imetekwa na CHADEMA kwa msaada wa wana CCM wenyewe!
 
Prof Lipumba vp?
Nimekuwa napitia mada nyingi sana humu JF na kila mada ni CHADEMA tu tangu ujio wa Lissu na Lema!

Hakuna cha CCM wala CUF, hii inaonyesha kuwa CHADEMA ni chama kikubwa sana sana nchi hii.

Hongera sana CHADEMA, songeni mbele sana!
 
Nimekuwa napitia mada nyingi sana humu JF na kila mada ni CHADEMA tu tangu ujio wa Lissu na Lema!

Hakuna cha CCM wala CUF, hii inaonyesha kuwa CHADEMA ni chama kikubwa sana sana nchi hii.

Hongera sana CHADEMA, songeni mbele sana!
NDIO WALIVYO WATANZANIA NI WATU WA MATUKIO MTU AKIJINYEA MAADA ITAKUWA NI HIYO HIYO
 
Daah jamaa karudi na NYOTA kali sana kutoka mamtoni. Yaani sio poa mazee...kila kona watu kibao...LEMA LEMA LEMA GODIII GODIII GODIII NABII dah sio poa yani.

Sema nini, dah jamaa katisha sana!!! CCM wajipange sana 2025 pale chugastan!
 
Back
Top Bottom