Kwanini kila mada humu ndani ni CHADEMA tu?

Kwanini kila mada humu ndani ni CHADEMA tu?

Daah jamaa karudi na NYOTA kali sana kutoka mamtoni...yani sio poa mazee...kila kona watu kibao...LEMA LEMA LEMA GODIII GODIII GODIII NABII dah sio poa yani...

Sema nini...dah jamaa katisha sana!!! CCM wajipange sana 2025 pale chugastan!
😅😅😅
 
Nimekuwa napitia mada nyingi sana humu JF na kila mada ni CHADEMA tu tangu ujio wa Lissu na Lema!

Hakuna cha CCM wala CUF, hii inaonyesha kuwa CHADEMA ni chama kikubwa sana sana nchi hii.

Hongera sana CHADEMA, songeni mbele sana!
cdm ni maarufu ingawa jiwe alitaka kuizika matokeo yake kazikwa yeye
 
IMG-20230309-WA0018.jpg
IMG-20230309-WA0019.jpg
IMG-20230309-WA0033.jpg
 
Nimekuwa napitia mada nyingi sana humu JF na kila mada ni CHADEMA tu tangu ujio wa Lissu na Lema!

Hakuna cha CCM wala CUF, hii inaonyesha kuwa CHADEMA ni chama kikubwa sana sana nchi hii.

Hongera sana CHADEMA, songeni mbele sana!
Ukienda Twitter, Facebook, clubhouse and Whatsapp ni Chadema tu.
 
Chadema ni dude kubwaaaaa ambalo kuliparamia inahitaji ujasiri mkubwa, lkn Chadema ni ajira kwa wenzetu wa Lumumba.

Nyuzi nyingi humu zinaandikwa na vijana wa Lumumba kwa malipo ya sh 7000 kwa kila nyuzi moja inayohusiana na Chadema, lkn iwe inaiponda Chadema na viongozi wote kwa ujumla, na Chadema haiwezi kufa kwa sababu ni ajira tosha kwa vijana wa Lumumba.

Lakini pia kupitia Chadema vijana wa Lumumba wamepata teuzi serikalini kwa kuiponda ama kuponda viongozi wa Chadema.

Hivyo basi, Chadema ni lango la kujipatia mkate wa kila cku kwa wenzetu wa Lumumba.

People's.... Lumumba itikieni basi huko huko mliko kwa kusema Power. Ole wenu msiitikie.

View attachment 2540317
Chadema ikifa ajira nyingi za Lumumba Fc zitayeyuka
 
Ukiona kitu kinasifiwa sana na watanzania ujue kina upumbavu
mara nying ukiona kuna genge linakerwa na sifa anazomiminiwa mtu au chama hao wanaokerwa ni wapumbavu na wauwaji waliozoea kuuwa watu ili walipwe posho za mauwaji kama sukuma gang.
 
Nimekuwa napitia mada nyingi sana humu JF na kila mada ni CHADEMA tu tangu ujio wa Lissu na Lema!

Hakuna cha CCM wala CUF, hii inaonyesha kuwa CHADEMA ni chama kikubwa sana sana nchi hii.

Hongera sana CHADEMA, songeni mbele sana!
Tatizo ni kuwa JF asilimia 99.999 ni Chadema. Iliyobaki 0.001 ndiyo CCM na vyama vingine. Kuprove hilo ni pale ambapo maneno yalisikika lakini tunaelezwa ni simu

Asingalikuwa Samia anang'ara siku hizi Chadema, humu ungalikuta kila uzi unasimlia hilo. Ngoja Mkakati wa Katiba mpya uvurugike uprove kuwa nipo sahihi
 
Nimekuwa napitia mada nyingi sana humu JF na kila mada ni CHADEMA tu tangu ujio wa Lissu na Lema, hakuna cha ccm wala CUF hii inaonyesha kuwa CHADEMA ni chama kikubwa sana sana nchi hii.

Hongera sana CHADEMA Songeni mbele sana!
kibaya kinavuma.
 
Back
Top Bottom