Kwanini kila mtu anaikimbia rangi nyeusi? Kuna siri gani?

Kwanini kila mtu anaikimbia rangi nyeusi? Kuna siri gani?

Wanaihusisha na giza, lakini rangi nyeusi kisaikolojia upande mwingine ni rangi imara ndio maana bidhaa nyingi kama tv, simu, kompyuta, spika ni nyeusi. Black is strong
Hata magari yenye rangi nyeusi bei iko juu kuliko rangi nyingine
 
Black is strong, Black is royal, Black is pride. Black is future. We are black for a reason.
 
Leo nimesikia kuwa na Wamisri wamegomea movie inayomzungumzia Cleopatra kama mwanamke mweusi.

Kuna mifano mingi tu ya kusema hapa ni jinsi gani weusi unachukiwa, tunachukiwa. Tatizo nini haswa? Kuna siri gani? Ni huu huu ukosefu wetu wa maarifa au kuna jingine?
Watu weusi mala nyingi upenda kusema kuwa waarabu ndio wanao chukia watu weusi ila wazungu wanawapenda sindio?
 
Sasa kma kweli hakuwa mweusi ulitaka wasiseme
Wakisema wanakimbia weus mkii kwel
 
Back
Top Bottom