Mhusika mkuu
JF-Expert Member
- Jun 13, 2013
- 452
- 537
Hata magari yenye rangi nyeusi bei iko juu kuliko rangi nyingineWanaihusisha na giza, lakini rangi nyeusi kisaikolojia upande mwingine ni rangi imara ndio maana bidhaa nyingi kama tv, simu, kompyuta, spika ni nyeusi. Black is strong
Watu weusi mala nyingi upenda kusema kuwa waarabu ndio wanao chukia watu weusi ila wazungu wanawapenda sindio?Leo nimesikia kuwa na Wamisri wamegomea movie inayomzungumzia Cleopatra kama mwanamke mweusi.
Kuna mifano mingi tu ya kusema hapa ni jinsi gani weusi unachukiwa, tunachukiwa. Tatizo nini haswa? Kuna siri gani? Ni huu huu ukosefu wetu wa maarifa au kuna jingine?
Gali sio mtu kinacho ongelewa sio gali bali mtu mwesiReally black is strong,hata gari nyeusi inatisha kuliko gari nyeupe!!
Gali ndiyo nini hiyo!!??Gali sio mtu kinacho ongelewa sio gali bali mtu mwesi