Angalie tu asije akapotelea mbaliUna kitu, utafika mbali.
Mwaka ganiWakati Marlaw na Belle 9 wako kwenye peak, Diamond bado alikua anajitafuta.
Tukirudi kwenye mada, Diamond ndio kipimo cha ubora kwenye mziki kwa sasa!
What stupid question, kwani wewe umezaliwa mwaka 2005Mwaka gani
Sawa mrWhat stupid question, kwani wewe umezaliwa mwaka 2005
2008 kuja 2010 kipindi hicho Diamond yupo K/Koo anasema yeye ni MB Dogg kila watu wakimuuliza anajiita MB Dogg kipindi hicho anaimba nyimbo za MB Dogg na hajatoa nyimbo hata 1Mwaka gani
Mdogo huyo muelekeze taratibuWhat stupid question, kwani wewe umezaliwa mwaka 2005
Haya wakubwaMdogo huyo muelekeze taratibu
Tulia hapo hapo ujifunze Bwana mdogoHaya wakubwa
Una maoni gani kuhusu DP WORLDTulia hapo hapo ujifunze Bwana mdogo
Ntakuchapa makofiUna maoni gani kuhusu DP WORLD
Diamond ni SI unit...Wasanii wote wanalilia kushindana/kushindanishwa na Diamond. Tangu enzi za kina Marlaw na Belli 9 mpaka sasa madogo kina Chino wanaman Konde Boy. Bila kusahau Ali Kiba.
Je, kuna manufaa yoyote wakipambanishwa na Diamond? Kwa nini hawataki kushindana wao kwa wao au kushindana na Ali Kiba wote focus yao ni Diamond? Thread tayari